PreGE2025 Mradi wa kuzalisha umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere umekamilika

PreGE2025 Mradi wa kuzalisha umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere umekamilika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
MRADI WA KUZALISHA UMEME WA BWAWA LA MWALIMU NYERERE UMEKAMILIKA

Kukamilika kwa mradi wa uzalishaji umeme katika Bwawa la Julius Nyerere ni utekelezaji wa ilani ya CCM ibara ya 63 (a).

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hadi kufikia mwezi Machi 2025, Mradi huo umekamilika kwa gharama ya shilingi trilioni 6.6 na jumla ya megawati 2,115 zimeunganishwa kwenye gridi ya taifa na hivyo kuongeza kiwango cha umeme katika gridi ya taifa kufikia megawati 4,031.7.

FB_IMG_1744300483615.jpg

Pia soma ~ TANESCO, zipi faida za kuwa na bwawa kubwa la Umeme la Julius Nyerere (JHPP) ikiwa Unit 1 ya Umeme wateja wa T1 tunatozwa Sh 292?
 
MRADI WA KUZALISHA UMEME WA BWAWA LA MWALIMU NYERERE UMEKAMILIKA

Kukamilika kwa mradi wa uzalishaji umeme katika Bwawa la Julius Nyerere ni utekelezaji wa ilani ya CCM ibara ya 63 (a).

Hadi kufikia mwezi Machi 2025, Mradi huo umekamilika kwa gharama ya shilingi trilioni 6.6 na jumla ya megawati 2,115 zimeunganishwa kwenye gridi ya taifa na hivyo kuongeza kiwango cha umeme katika gridi ya taifa kufikia megawati 4,031.7.
Lakini hapa umeme umekatika
 
Yaani ni vichekesho tu sijui mnaongea ili muonekane videvu vinawacheza mchukue posho?

Samia majuzi alisema anaenda kununua umeme Ethiopia sijui Somalia leo tena bwawa la Nyerere limekamilika sasa huyo mama alichokuwa anakiongea na mlichokiongea leo ni kusema hajui kinachoendelea kwenye miradi inayokula kodi za taifa?
 
Uwe unafuatilia mambo kwa kina kama unataka kuelewa na sio kuponda tu,,umeme wa kutoka Ethiopia utasaidia wananchi wa kaskazini tu wenye changamoto ya umeme mdogo(low voltage).Sasa ulitaka shirika litumie gharama kubwa kutatua changamoto hiyo ikiwa soln rahisi yenye gharama ndogo ipo tumia akili mkuu sio mihemko halafu haya mambo ninya kitaalamu kama wewe ni HGL huwezinkuelewa.
 
Uwe unafuatilia mambo kwa kina kama unataka kuelewa na sio kuponda tu,,umeme wa kutoka Ethiopia utasaidia wananchi wa kaskazini tu wenye changamoto ya umeme mdogo(low voltage)
Kwani huo wa Bwawa la Nyerere nao una low voltage?
.Sasa ulitaka shirika litumie gharama kubwa kutatua changamoto hiyo ikiwa soln rahisi yenye gharama ndogo ipo tumia akili mkuu sio mihemko halafu haya mambo ninya kitaalamu kama wewe ni HGL huwezinkuelewa.
Mjinga wewe...!

Wewe unayekula chochote kutoka kwa viongozi wa serikali hii ya kiwiziwizi na kifisadi chini ya CCM ndiye unayepaswa kutumia vyema hizo akili zako kufikiri na kuhoji sawasawa..!!

Kuutoa umeme Ethiopia upite nchi za Somalia na Kenya ndo uingie Tanzania na kuutumia huuhuu wetu ambao ni "mwingi" kupi ni gharama kubwa..??

Kwa hiyo ndo kusema kuwa, wewe ukiambiwa chochote na serikali kazi yako ni kusema "YES" tu kwa sababu tu eti serikali imesema, AU SIYO...?

Kama ndiyo wewe huyu, basi sitakosea kabisa kukuita wewe ni "Zoba" and actually "you're very stupid....!!"
 
Huu mradi ungekamilika kipindi Cha magufuli tungefaidi sana maana angeshusha bei ya umeme.mfano alisema umeme wa elfu kumi tungepata unit miamoja.Lakini Kwa Sasa Kwa kuwa tunaongozwa na majizi na mafisadi hayataweza kupunguza bei ya umeme zaidi yatapandisha tu
 
MRADI WA KUZALISHA UMEME WA BWAWA LA MWALIMU NYERERE UMEKAMILIKA

Kukamilika kwa mradi wa uzalishaji umeme katika Bwawa la Julius Nyerere ni utekelezaji wa ilani ya CCM ibara ya 63 (a).

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hadi kufikia mwezi Machi 2025, Mradi huo umekamilika kwa gharama ya shilingi trilioni 6.6 na jumla ya megawati 2,115 zimeunganishwa kwenye gridi ya taifa na hivyo kuongeza kiwango cha umeme katika gridi ya taifa kufikia megawati 4,031.7.

View attachment 3299253
-Tutaanza kuuza umeme nje ya nchi kama tulivyoshidiwa wakati bwawa linaanza kujengea?
-Ethiopia ina maana hutunukui tena umeme wao?
-Kukatikakstika kwa umeme ndiyo kumeisha jumla?
NB-Tunachokaka ni kuona faida za huo uwekezaji na si tena stories za kununua umeme kutoka nje wala kukatikakatika kwa migao ya umeme.
 
Makamba na Naje walipinga ujenzi wa bwawa hilo apongezwe John Pombe Magufuli alisema iwe mvua ama jua lazima bwawa lijengwe..
Alipinga aiwa kama nani kipindi hicho?!!!
Hoja zake zilikuwa zipi?!!!
Njia mbadala aliyoipendekeza kukabiliana na tatizo la umeme ilikuwa ipi?!! Ina mantiki au Haina?!!

Wengi tu tunampenda magufuli lakini Haina maana kwamba lazima tuwe malafa wa kuwachukia watu wengine wenye hoja mbadala.......Makamba Yuko smart zaidi ya wewe na kaka zako....put together.
 
We ni mpumbavu?

Samahani lakini

Linapokuja la mradi kama huo, hata uwe na hoja kiasi gani inayotaka kuzuwia kujengwa, wewe ni mpumbavu tu

JPM angesikiliza kile unakiita hoja, huu mradi wa umeme ungekuwepo leo?

Miccm hivi mkoje?
 
Back
Top Bottom