Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Lakini hapa umeme umekatikaMRADI WA KUZALISHA UMEME WA BWAWA LA MWALIMU NYERERE UMEKAMILIKA
Kukamilika kwa mradi wa uzalishaji umeme katika Bwawa la Julius Nyerere ni utekelezaji wa ilani ya CCM ibara ya 63 (a).
Hadi kufikia mwezi Machi 2025, Mradi huo umekamilika kwa gharama ya shilingi trilioni 6.6 na jumla ya megawati 2,115 zimeunganishwa kwenye gridi ya taifa na hivyo kuongeza kiwango cha umeme katika gridi ya taifa kufikia megawati 4,031.7.
Hawa watu ni wapumbavu kupata kutokea tangu dunia imeumbwaLakini hapa umeme umekatika
Uwe unafuatilia mambo kwa kina kama unataka kuelewa na sio kuponda tu,,umeme wa kutoka Ethiopia utasaidia wananchi wa kaskazini tu wenye changamoto ya umeme mdogo(low voltage).Sasa ulitaka shirika litumie gharama kubwa kutatua changamoto hiyo ikiwa soln rahisi yenye gharama ndogo ipo tumia akili mkuu sio mihemko halafu haya mambo ninya kitaalamu kama wewe ni HGL huwezinkuelewa.Yaani ni vichekesho tu sijui mnaongea ili muonekane videvu vinawacheza mchukue posho?
Samia majuzi alisema anaenda kununua umeme Ethiopia sijui Somalia leo tena bwawa la Nyerere limekamilika sasa huyo mama alichokuwa anakiongea na mlichokiongea leo ni kusema hajui kinachoendelea kwenye miradi inayokula kodi za taifa?
Wamepiga fedha zaidi ya 30 B.ya ukarabati uwanja wa Mkapa, hiyo ya umeme wa mikoa ya kaskazini kununua nje ya nchi ni upigaji mwingineVipi mikoa ya kaskazini wanasemaje? 😅😅😅
Nchi ya ahadi tutafika kweli?Wamepiga fedha ya ukarabati kiwanja cha Mkapa, hiyo ya umeme wa mikoa ya kaskazini kununua nje ya nchi ni upigaji mwingine
Kwani huo wa Bwawa la Nyerere nao una low voltage?Uwe unafuatilia mambo kwa kina kama unataka kuelewa na sio kuponda tu,,umeme wa kutoka Ethiopia utasaidia wananchi wa kaskazini tu wenye changamoto ya umeme mdogo(low voltage)
Mjinga wewe...!.Sasa ulitaka shirika litumie gharama kubwa kutatua changamoto hiyo ikiwa soln rahisi yenye gharama ndogo ipo tumia akili mkuu sio mihemko halafu haya mambo ninya kitaalamu kama wewe ni HGL huwezinkuelewa.
Chini ya majambazi ccm....?Nchi ya ahadi tutafika kweli?
-Tutaanza kuuza umeme nje ya nchi kama tulivyoshidiwa wakati bwawa linaanza kujengea?MRADI WA KUZALISHA UMEME WA BWAWA LA MWALIMU NYERERE UMEKAMILIKA
Kukamilika kwa mradi wa uzalishaji umeme katika Bwawa la Julius Nyerere ni utekelezaji wa ilani ya CCM ibara ya 63 (a).
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hadi kufikia mwezi Machi 2025, Mradi huo umekamilika kwa gharama ya shilingi trilioni 6.6 na jumla ya megawati 2,115 zimeunganishwa kwenye gridi ya taifa na hivyo kuongeza kiwango cha umeme katika gridi ya taifa kufikia megawati 4,031.7.
View attachment 3299253
Alipinga aiwa kama nani kipindi hicho?!!!Makamba na Naje walipinga ujenzi wa bwawa hilo apongezwe John Pombe Magufuli alisema iwe mvua ama jua lazima bwawa lijengwe..
We ni mpumbavu?Alipinga aiwa kama nani kipindi hicho?!!!
Hoja zake zilikuwa zipi?!!!
Njia mbadala aliyoipendekeza kukabiliana na tatizo la umeme ilikuwa ipi?!! Ina mantiki au Haina?!!
Wengi tu tunampenda magufuli lakini Haina maana kwamba lazima tuwe malafa wa kuwachukia watu wengine wenye hoja mbadala.......Makamba Yuko smart zaidi ya wewe na kaka zako....put together.