Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,925

Watu tunaumiza sana vichwa kuhusu miradi ya kiwango cha chini na cha kati kwa ajili ya kuinua uchumi binafsi na kifamilia. Hizi picha hapo juu utaona miradi ya aina hiyo imetapakaa kila kona, tatizo tu labda mingi yake haijaboreshwa kutosha. Nadhani kama mtu unaandaa ya kiwango ambacho kinawapa watu uhakika wa usalama wa afya zao inalipa vizuri maana vitengea kazi ni bei rahisi, upatikanaji wa raw food ni bwelele kila kona.