Mradi wa lunch na dinner(chips mayai) inayolipa haraka zaidi imetapakaa kila kona

Mradi wa lunch na dinner(chips mayai) inayolipa haraka zaidi imetapakaa kila kona

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,925
th (2).jpg 9913841564_3dd77c3db2_o.jpg 9913928853_f1ae5eb64a_o.jpg th (1).jpg th (3).jpg th (4).jpg th (5).jpg th (6).jpg th (7).jpg th (8).jpg th.jpg

Watu tunaumiza sana vichwa kuhusu miradi ya kiwango cha chini na cha kati kwa ajili ya kuinua uchumi binafsi na kifamilia. Hizi picha hapo juu utaona miradi ya aina hiyo imetapakaa kila kona, tatizo tu labda mingi yake haijaboreshwa kutosha. Nadhani kama mtu unaandaa ya kiwango ambacho kinawapa watu uhakika wa usalama wa afya zao inalipa vizuri maana vitengea kazi ni bei rahisi, upatikanaji wa raw food ni bwelele kila kona.
 
Wengi wanajaribu miradi kadhaa, kuna baadhi inahitaji sana uvumilivu hadi uanze kutia kitu mkononi, na kuba baadhi ya miradi ingawa unapata kidogo lakini ni mfululizo na kama unakuwa na mpangilio mzuri pengine inaweza kuwa na pato zaidi ya miradi mikubwa.
 
View attachment 130364 View attachment 130365 View attachment 130366 View attachment 130367 View attachment 130368 View attachment 130369 View attachment 130370 View attachment 130371 View attachment 130372 View attachment 130373 View attachment 130374

watu tunaumiza sana vichwa kuhusu miradi ya kiwango cha chini na cha kati kwa ajili ya kuinua uchumi binafsi na kifamilia. Hizi picha hapo juu utaona miradi ya aina hiyo imetapakaa kila kona, tatizo tu labda mingi yake haijaboreshwa kutosha. Nadhani kama mtu unaandaa ya kiwango ambacho kinawapa watu uhakika wa usalama wa afya zao inalipa vizuri maana vitengea kazi ni bei rahisi, upatikanaji wa raw food ni bwelele kila kona.

i got u candid scope
 
kweli kabisa!! tatizo watu tunakariri na kuiga fulani kafanya hiki na mm nifanye hichohicho...
 
kweli kabisa!! tatizo watu tunakariri na kuiga fulani kafanya hiki na mm nifanye hichohicho...
Mradi kama huu ni mzuri kwa maana hutakosa kwa siku kuingiza kitu mfukoni kuliko hii ya kusubiria mteja kwa bahati ukipata mmoja mwenye kukuingizia kitu kwa siku ni bahati.

Chakula kwa kawaida kama una mazingira mazuri hakilali, na jinsi unavyozidi kutengeneza chenye mvuto kwa wateja basi hakika upo pema kuliko mwenye mini market.

Nimeona miradi mitaani Dar na miji mbalimbali, lakini nilivutiwa na mmoja pale mji kasoro bahari aka Morogoro, ameandaa mazingira yenye kuvutia ya kawaida tu kwenye kaupenyo fulani, chakula kizuri, mazingira salama kiafya na pia wahudumu na wapishi ni wasafi. Hayo huweza kuwavutia wengi kuchangamkia biashara ya aina hii.
 
Back
Top Bottom