Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,925
View attachment 130364 View attachment 130365 View attachment 130366 View attachment 130367 View attachment 130368 View attachment 130369 View attachment 130370 View attachment 130371 View attachment 130372 View attachment 130373 View attachment 130374
watu tunaumiza sana vichwa kuhusu miradi ya kiwango cha chini na cha kati kwa ajili ya kuinua uchumi binafsi na kifamilia. Hizi picha hapo juu utaona miradi ya aina hiyo imetapakaa kila kona, tatizo tu labda mingi yake haijaboreshwa kutosha. Nadhani kama mtu unaandaa ya kiwango ambacho kinawapa watu uhakika wa usalama wa afya zao inalipa vizuri maana vitengea kazi ni bei rahisi, upatikanaji wa raw food ni bwelele kila kona.
i got u candid scope
Mradi kama huu ni mzuri kwa maana hutakosa kwa siku kuingiza kitu mfukoni kuliko hii ya kusubiria mteja kwa bahati ukipata mmoja mwenye kukuingizia kitu kwa siku ni bahati.kweli kabisa!! tatizo watu tunakariri na kuiga fulani kafanya hiki na mm nifanye hichohicho...