Mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT) na Dar es Salaam Rapid Transit (DART)

Hii project ni a dream come true.. hop tutaiona ikipiga kazi maana wachakachuaji wapo busy sana:help:
 
Tunza usemi wangu: DART haitapunguza foleni za magari Dar na haitaenda na kasi ya wingi wa watu Dar. Unaweza ukawa mzigo kiuchumi na kurudisha gharama ikawa ngumu.

Gharama zilizotumika zilitosha kutengeneza makutano yote ya barabara Dar na kuondoa taa zote barabarani, kwa waliobahatika kutembea dunia watakubaliana na mimi
 
Tunza usemi wangu: DART haitapunguza foleni za magari Dar na haitaenda na kasi ya wingi wa watu Dar. Unaweza ukawa mzigo kiuchumi na kurudisha gharama ikawa ngumu.
basi moja la DART linaweza kureplace coaster au isuzu journey nane barabarani, so fanya mahesabu.

Gharama zilizotumika zilitosha kutengeneza makutano yote ya barabara Dar na kuondoa taa zote barabarani, kwa waliobahatika kutembea dunia watakubaliana na mimi

hayo unayosema pia yamepangwa, soon TAZARA flyover itakua UNDERCONSTRUCTION,so subiri tuone hizo forecast zako
 
basi moja la DART linaweza kureplace coaster au isuzu journey nane barabarani, so fanya mahesabu.

hayo unayosema pia yamepangwa, soon TAZARA flyover itakua UNDERCONSTRUCTION,so subiri tuone hizo forecast zako

Tusubiri
 
Unaweza kuwa na hoja Mkuu Mshombsy lakini kumbuka, ukiwepo mfumo bora wa usafiri wa umma utashawishi watu wengi kuutumia badala ya kuendesha magari binafsi kila wanapokwenda kazini na hii itachangia kupunguza foleni zisizo za lazima.
Vilevile, inawezekana foleni isipungue sana hiyo itawaathiri wanaoendesha magari binafsi lakini kwa vile mabasi haya yanakuwa na njia yake maalum hutumia muda mfupi sana kufika katikati ya mji na yatapendelewa na watu wengi wanaokwenda kazini. tumeyaona kwenye treni za Mwakyembe.

Hizo fly-over mnazopendekeza zinasaidia lakini peke yake sio dawa ya foleni mjini, bali ni combination ya yatua mbalimbali ikiwemo kuboresha usafiri wa umma.
 
Last edited by a moderator:
BIBI TITI MOHD /MOROGORO ROAD
from instagram DARPHOTOWALK​
 
dunia gani hio uliyotembea wewe haina TAA BARABARANI???...MARS??
 
Hii ni pale pale BIBI TITI/MOROGORO RD kwa nyuma, picha ya juu hapo, hii kabla hawajapaint hiyo green🙂

dunia gani hio uliyotembea wewe haina TAA BARABARANI???...MARS??

Taa barabarani zipo kila nchi lakini si barabara kuu. Naandika hii post nikiwa sipo nchini hivyo naelewa ninachokiongelea

Swala ni kujaribu kupunguza taa za barabari kadiri iwezekanavyo. Mfano uitaji mataa njiapanda segerea banana, huitaji mataa uwanja wa ndege, vingunguti, tazara na chang'ombe kwa mtu anayetoka G mboto kwenda posta.

Nimeona picha za ndani hayo mabasi naweza kukuhakikishia si ya mwendo kasi ni ya kipaumbele cha barabara kupita bila kuingiliwa. Ni muundo wa ya uwanja wa ndege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…