Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kampuni ya Strabag imeanza ujenzi wa barabara ya njia nne katika eneo la Kivukoni Front ambalo lina ofisi mbalimbali za Serikali. Ujenzi huo
ulianza jana tarehe 30 Oktoba, 2013. Kwa mujibu wa wajenzi, ujenzi huo utaunganisha Barabara za Kilwa na Morogoro. Aidha inaelezwa kuwa maegesho ya magari yatakuwepo pembezoni mwa barabara upande wa bahari ujenzi ukiisha,lakini kwa sasa watu wanapaki maeneo mengine ya mjini.Picha zote na "Bella"
basi moja la DART linaweza kureplace coaster au isuzu journey nane barabarani, so fanya mahesabu.Tunza usemi wangu: DART haitapunguza foleni za magari Dar na haitaenda na kasi ya wingi wa watu Dar. Unaweza ukawa mzigo kiuchumi na kurudisha gharama ikawa ngumu.
Gharama zilizotumika zilitosha kutengeneza makutano yote ya barabara Dar na kuondoa taa zote barabarani, kwa waliobahatika kutembea dunia watakubaliana na mimi
basi moja la DART linaweza kureplace coaster au isuzu journey nane barabarani, so fanya mahesabu.
hayo unayosema pia yamepangwa, soon TAZARA flyover itakua UNDERCONSTRUCTION,so subiri tuone hizo forecast zako
Tunza usemi wangu: DART haitapunguza foleni za magari Dar na haitaenda na kasi ya wingi wa watu Dar. Unaweza ukawa mzigo kiuchumi na kurudisha gharama ikawa ngumu.
Gharama zilizotumika zilitosha kutengeneza makutano yote ya barabara Dar na kuondoa taa zote barabarani, kwa waliobahatika kutembea dunia watakubaliana na mimi
Tunza usemi wangu: DART haitapunguza foleni za magari Dar na haitaenda na kasi ya wingi wa watu Dar. Unaweza ukawa mzigo kiuchumi na kurudisha gharama ikawa ngumu.
Gharama zilizotumika zilitosha kutengeneza makutano yote ya barabara Dar na kuondoa taa zote barabarani, kwa waliobahatika kutembea dunia watakubaliana na mimi
OOhh noo!!,are they going to be LHD buses like this one on tour!!?
OOhh noo!!,are they going to be LHD buses like this one on tour!!?
dunia gani hio uliyotembea wewe haina TAA BARABARANI???...MARS??