Hawa wajamaa wa strabag mbona wamepunguza kasi ya ujenzi,kwa sisi watumiaji wa barabara hii ni kero kubwa sana mwanzo nilifkiri ni mwezi wa december wameenda kula sikukuu jauary shughuli itaendelea kama kawa unfortunately jan ndio hii na hamna changes zozote wanajamvi mwendo bado wa kususua,kuna mtu yyte mwenye info juu ya hili