Mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT) na Dar es Salaam Rapid Transit (DART)

Mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT) na Dar es Salaam Rapid Transit (DART)

Mkulu NDINDA ....... tunashukuru kwa kutupatia yanayojiri katika mradi huu wa mabasi yaendayo kasi......

ushauri wangu ni kwamba..... NAOMBA MABASI YOTE YATUMIE NISHATI YA GESI YA ASILI BADALA YA NISHATI YA MAFUTA..... HILI NI MUHIMU MAANA LITATUPUNGUZIA GHARAMA ZA UENDESHAJI KWA KIASI KIKUBWA.....

WENZETU WA CONTINENTAL EUROPE NA SCANDINAVIA WANATUMIA GESI KWA MABASI YA UMMA..... SINA UHAKIKA KWA LATIN AMERICA AMBAO NI WANAZILISHI WA MIRADI KAMA HII NA WANAO WEKEZA PESA NYINGI SANA.....
 
Daraja la Ubungo

image_zpsbc0216d4.jpg


Picha kwa hisani ya SkyScraper City
 
nimeona hii somewhere mtu kaipiga pale dar. wenye picha zaidi wazitume
 

Attachments

  • brt_dar es salaam.jpg
    brt_dar es salaam.jpg
    94.9 KB · Views: 1,432
Hawa wajamaa wa strabag mbona wamepunguza kasi ya ujenzi,kwa sisi watumiaji wa barabara hii ni kero kubwa sana mwanzo nilifkiri ni mwezi wa december wameenda kula sikukuu jauary shughuli itaendelea kama kawa unfortunately jan ndio hii na hamna changes zozote wanajamvi mwendo bado wa kususua,kuna mtu yyte mwenye info juu ya hili
 
STRABAG wameshaanza tena kutengeneza KAWAWA RD morocco to magomeni....jiandaeni na usumbufu
 
Proposed BRT HQ at what is now Ubungo bus Terminal, wadau wa DART please confirm hii render kama hakuna mabadiliko.

IMG_4162795974465.jpeg
 
KIVUKONI

ALL PHOTOS BY issamichuzi.blogspot.com


IMG_2763.jpg



IMG_2764.jpg

 
Tangia siasa za Bunge la Katiba zianze, watu wameusahau huu uzi. Kuna kazi nzuri inaendelea, picha hii ni pale Sokoine Drive kwa hisani ya SkyScraperCity

add74a56bfc111e3bc3c0002c9d40ce6_8.jpg
 
Wadau mlioko Dar, mafuriko ya pale Jangwani kambi ya Strabarg imenusurika?
 
Back
Top Bottom