Mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT) na Dar es Salaam Rapid Transit (DART)

Pale Kimara Rombo na Kimara Bucha panahitaji standby ambulance na Kimara Mwisho kwenye kona pawe na Standby Breakdown! Ukibisha ni tabia yako tu!!
Very poor design!
 

Attachments

  • 1415645078413.jpg
    36.6 KB · Views: 531

Tunatakiwa na sisi wanainchi tuilinde nchi na miji yetu, tukiona matukio kama hayo ya wizi tujaribu kuzuia. Tusimkamate mwizi pale anapo tuibia tu kibinafsi. Tukumbuke kwamba hizo hela zilizo tumika hapo kwenye ujenzi ni mali zetu, hizo hela tulizo tokea jasho na ukatozwa kodi ndio zika tumika hapo, basi kama tulivyo kua na uchungu na mali zetu binafsi tuwe na uchungu na vitu kama hivyo vya umma na tuvilinde
 
KARIAKOO TERMINAL TAKING SHAPE







 
I saw STRABAG trucks offloading road barriers along Msimbazi street, seem like it time to connect kariakoo termianl with morogoro road.




I Took these photos yesterday during the WWIM11 (WWIM11DAR) TEAM








































































 
JAGWANI DEPOT taken yesterday 28 March


















 
hayo mabasi yanaanza lini kufanya kazi picha zinavutia sana
 
KARIAKOO TERMINAL FROM FAR
























 
Mkuu NDINDA uko vizuri Hongera Zako,Picha Zako zimetulia Sana na Za Viwango........Kwa jinsi Inavyoonekana Patapendeza Mno mradi huu Ukikamilika...Ngoja Tusubiri
 
Last edited by a moderator:
The shear number of traffic lights on morogoro road gives chills, from ubungo mataa(ubungo maji) to morogoro/ali hassan road junction at DIT a distance of 8kilometers there is 14 traffic lights stops! Thats an average of a traffic stop every 600 meters! Perfect recipie for foleni. For good value for money, Overpass and underpasses were so necessary in this project. Instead of spending billions on stop stations with some less than 50 meters from each other, it would have been better spent solving the snurl up the project was aimed to address in the fist place
 
MANZESE BAKHRESA STOP











 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…