John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,342
usijali, mradi huu ulianza kuongelewa zaidi ya miaka kumi iliyopita, sasa ujenzi umeanza na world bank washatoa hela, ukiangalia kivukoni kazi imeshaanza, tusubiri kwani pia kuna wamiliki daladala ambao wanaona mradi huu utaua biashara yao, viongzi wetu wametufanyia mambo mpka hatuamini wanachokisema, teh teh, nami nasema nasubiri kuona mabasi hayao yanaanza kufanya kazi.
hili ndio tatizo letu sisi, na unaweza kukuta wasimamizi wakuu wa huu mradi ndio wamiliki wa madala dala pia