Mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT) na Dar es Salaam Rapid Transit (DART)

NDINDA picha ziko wapi kijana ? au umesafiri

chungulieni huko ndani ya fence ya mabati,

Flickr 上 smartovski 的 Futuristic harbour lighthouse

road

Hivi barabara hizi za mabasi yaendayo kasi ni za viwango vya kimataifa, isije pita miaka kidogo na zenyewe zikawa ni nyembamba maana nchi hii haiishi sarakasi, vituko na vikchekesho...
 
Hivi barabara hizi za mabasi yaendayo kasi ni za viwango vya kimataifa, isije pita miaka kidogo na zenyewe zikawa ni nyembamba maana nchi hii haiishi sarakasi, vituko na vikchekesho...
usijali mkuu, inaibu jinajenga kampuni maarufu duniani la kijerumani, sidhani kama wataaford kuharibu jina lao kwa kufanya kazi ya rasha rasha bongo,
 
STRABAG International - Dar Es Salaam Bus Rapid Transit (BRT) Infrastructure, Tanzania
 
Bongo itafuata exactly mfumo huu wa TransMilenio huko BOGOTA COLOMBIA, hivyo wadau pateni picha ya kitu kinachokuja, na wale wanaodhani ni speed kali ya mabasi hadi wanaogopa, jifunzeni hapo

Last edited by a moderator:
Mi nadhani wangejenga reli kwanzia kibaha hadi pale stesheni,ubungo kungekuwa na ki2o magomeni cha pili then kariako mwisho steshen,hapo wangekuwa wangekuwa wamemaliza tatizo kubwa la foleni,hayo mabasi na wakika 100% yatakuwa ya kichina na hayataweza kubeba more than 70 people,alafu yataharibika mapema coz yatakuwa ingini nyuma..hakuna kitachoharibika 2tai2mia iyo njia kwali ya maguta,waenda kwa miguu,baskeli,na boda
nawasilisha kambi rasmi ya upinzan
 
haya ni mawazo yako na yana nafasi yake, sio kila kitu cha kichina ni kama unavyofikiria, halafu kakumbia nani mabasi yatakua ya kichina na umepata wapi hiyo abiria 70, wakati umeambiwa ni articulated buses, umeambiwa mfumo huu utakua exctly kama wa bogota, bado unawaza vingine, kazi kweli kweli, BTW, reli pia wametoa tender

RELI ASSETS HOLDING COMPANY LIMITED Tender😀EVELOPMENT AND OPERATION OF DAR ES SALAAM CITY COMMUTER TRAIN SERVICES IN EXISTING RAILWAY NETWORK Closing Date: 20th July 2012 PDF Print E-mail

Hii barabara ya sam nujoma ni pana sana katikati nadhani ingeunganishwa nayo hadi mwenge
 
Mradi una several shortcomings. Hautafanikiwa. Wangetaka mradi wa miundombinu wangeenda kujifunza kwa wenzetu wa Malaysia.
 
Mradi una several shortcomings. Hautafanikiwa. Wangetaka mradi wa miundombinu wangeenda kujifunza kwa wenzetu wa Malaysia.

kama zipi mkuu hebu tufumbue macho, DART walienda India na Colombia na wakaamua kujifunza wa transmilenio wa bogota colombia, unaweza kutufafanulia vizuri kwa nini unaona un shortcomings na kwa nini wangeenda kujifunza ule wa malaysia? asante mkuu
 
Dah NDINDA huwa ukirudi jamvini na miradi yako huwa navutiwa sana! Especially unapokuja na picha na michoro ya miradi! keep it up!
 
kama zipi mkuu hebu tufumbue macho, DART walienda India na Colombia na wakaamua kujifunza wa transmilenio wa bogota colombia, unaweza kutufafanulia vizuri kwa nini unaona un shortcomings na kwa nini wangeenda kujifunza ule wa malaysia? asante mkuu

Hamna chochote atakachokuambia....
 
kama zipi mkuu hebu tufumbue macho, DART walienda India na Colombia na wakaamua kujifunza wa transmilenio wa bogota colombia, unaweza kutufafanulia vizuri kwa nini unaona un shortcomings na kwa nini wangeenda kujifunza ule wa malaysia? asante mkuu

Nchini Malaysia, jijini Kuala Lumpur, walikuwa na tatizo kama letu. Wakapata ushauri toka USA. Wakaamua kuwekeza kwenye Monorail. Umekuwa mradi mzuri na wenye mafanikio mazuri kiasi kwamba WANAUPANUA sasa.

Kwa taarifa zaidi, just Google keywords "Kuala Lumpur Monorail". Utajionea mwenyewe ninachomaanisha.
 
nimekupata mkuu, sasa momorail inawashwa na nini kama hata umeme wa kuwasha vijibanda vyetu unatupa shida, BRT system ni sawa na subway ila juu ya ardhi, ni bei nafuu na ndio maana serikali imeamua kuendeleza mradi huu. kuhusu kujifunza, wameenda maeneo mengi pia, USA, INDIA, SOUTH AFRICA, COLOMBIA. kwa hiyo kuhusu kujifunza usijali, kumbuka mradi huu umeanza kuandaliwa zamani sana

ANGALIA LINK HIZI
http://www.reavaya.org.za/news-archive/october-2011/730-visitors-get-advice-on-brt

http://www.americantowns.com/fl/miami/news/african-delegation-tours-south-miami-dade-busway-160281

http://www.itdp.org/news/brighter-future-dar-es-salaam/
 
NDINDA,

Suala si kwamba umeme umetushinda. Nani kakuambia tuna tatizo la umeme? Tuna tatizo la KUFIKIRIA.

Huku Moshi, usiku ukitoka tu, kila kona kuna upepo wa ajabu. Pale Same kuna upepo kiasi wanatoa tahadhari kwa wenye magari. Pwani ya Dar ina upepo mwingi kwamba tunaweza kuzalisha hata MegaWatt 500 kwa upepo tu! Upo hapo?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…