Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp kwa maeneo ya Tazara ,gongolamboto kuna any known project similar to that?
anayefahamu tafadhali
Mpaka zikamilike, bongo ukisherehekea mapema umeliwa!
Angalia ramani hii, hayo maeneo yaako Phase 3
![]()
hamna lolote...wasanii wanaonyesha sanaa tu
Haya ni Majibu ya Rais waliyemuita DHAIFU. Ukweli ni kuwa, JK Amefanya makubwa kuliko Awamu zote kwani ametumia fursa ambazo waliotangulia hawakuzipata. Kila kiongozi ana nyota na enzi yake. Nataja baadhi ya mambo ambayo yanaitwa ndoto. Daraja la Maragalasi 80bil, limekamilika kwa zaidi ya 70%, Daraja la Kigamboni 200bil, limeanza kujengwa, Bomba la gesi Mtwara dar for 2700MGW pamoja na kuingiza gesi majumbani mradi umeanza, Mradi wa liganga na mchuchuma ukikamilika 11trillion, umeanza, bara bara za lami 11,000 km nchi nzima awamu tofauti ujenzi unaendelea, Usafiri wa treni dar, october 1, ujenzi reli mpya Tanga, Musoma mkataba umesainiwa, Udom na maendeleo ya vyuo vikuu, Sekondari za kata zimeanza kufaulisha, na kuna listi kubwa ambayo inahusu kilimo, biashara nk. MNYONGE MYONGENI HAKI YAKE MPANI
Well said Mkuu kibananhukhu, mwenye macho haambiwi tazama. Hata hivyo huna haja ya kuyataja yote hayo hapa kijiweni, sana sana utaambulia kejeli kwani wachangiaji wengi hapa wako kwenye laptop zao 24 hours na ni wachache wameyaona hayo uliyoyataja.
Tuseme kwamba, wengi wetu walikuwa na matarajio makubwa sana kutoka kwa JK zaidi ya hayo yaliyofanyika na hali halisi haiko hivyo.
Vp kwa maeneo ya Tazara ,gongolamboto kuna any known project similar to that?
anayefahamu tafadhali
Hayo maeneo yatafikiwa na hiyo project 2036 according to the plan of the project bosi subiri kama utakuwa hai utenjoy hiyo service kama unaishi goms