Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mfano wa kituo, pata picha ya pale manzese
![]()
Get live updates here, choose morogoro road,morogoro /libya road www.foleni.com :cheers: :banana:
Nadhani wangekaa tena chini na kutafakari wafanye mradi gani bora zaidi ya huu. Kama ni mabasi ya kawaida(na sio city trains) yatakuwa mangapi?(yakiwa mengi yanaweza kusababisha foleni vilevile) Je watajenga flyovers kwenye sehemu ya makutano na barabara nyingine? Je nafasi za kujenga hizo barabara wanazitoa wapi na mji upo congested hivyo?zitakuwa lane ngapi? Na kwa jinsi madereva wetu walivyo, tutarajie ajali za kutisha.
Tusije tukaingia gharama za bomoabomoa halafu mradi usiwe effective enough.
Anayejua vizuri anieleweshe.
GONGA HIYO LINK MKUU Social Events
Nadhani hizo flyover mnazoziongelea pia zipo kwenye matayarisho nina uhakika ya kwanza itakua pale TAZARA, kwanza kabisa ukitaka kuamini mradi huu utapunguza foleni ni kwamba basi moja linaweza kureplace DCM au COASTER tano, mpaka hapo utakua umepunguza idadi ya magari barabarani, angalia link hizi hapa ujue jinsi gani BRT zinapunguza foleni, kwani city trains si tayari tuna la mwakyembe? mambo taratibu wakuu au mnasemaje, angalia BRT ya guangzhou hapa chini Social Events

