Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kudos kwa wadu wote, mradi unaenda vizuri kabisa, nimefagilia hiyo rangi ya kituo , sijui watabadilisha iwe blue kama kwenye renders, wadau mbgependa vituo viwe rangi gani na mabasi pia , yawe ya rangi gani?
Mkuu Mimi ni mkereketwa tu wa maendeleo ya bongo, katika mradi huu si mtu yoyote, kuhusu mabasi angalia renders vizuri, mabasi ya route ya morogoro road ni articulated Euro 3 Kama walivyosema, angalia huko juu, na Kutoka kwenye feeder stations Kama morocco , nadhani yanatakua madogo, Check basi Hilo hapo chini nadhani yatafaa sana Kutoka kwenye feeder stationsZHONG TONG BUS in town, have your say KAMPUNI YA SIMBA COACHES YAINGIZA MABASI MAPYA YATAKAYOKUWA YANABEBA ABIRIA 100Sijajua wewe ni nani katika mradi huu.....!!!!!!!!!!!! Lakini binafsi mabasi yanayotakiwa ni ya rangi yoyote..... ila standard yake yawe kama ikarusi ya zamani walikuwa wakiita kumba kumba...... Tafadhali wasituletee mabasi ya aina ya eacher au kenta.... tunataka mabasi makubwa....
Mkurugenzi wa Simba Coaches Azim Dewji ameingiza mabasi 100 yatakayokuwa yanabeba Abiria zaidi ya 100 ambayo yatasaidia kupunguza foleni jijini Dar es Salam.Akizungumza na Wandishi wa Niccomedia TZ ofisini jijini alisema kuwa mabasi hayo pia yatakuwa yanauzwa kwa bei nafuu na Kampuni ya Simba iliyopo barabara ya Mandela maeneo ya Matumbi jijini Dar es Salaam.
Hovyo kabisa huu mradi...
Mkuu Mimi ni mkereketwa tu wa maendeleo ya bongo, katika mradi huu si mtu yoyote, kuhusu mabasi angalia renders vizuri, mabasi ya route ya morogoro road ni articulated Euro 3 Kama walivyosema, angalia huko juu, na Kutoka kwenye feeder stations Kama morocco , nadhani yanatakua madogo, Check basi Hilo hapo chini nadhani yatafaa sana Kutoka kwenye feeder stationsZHONG TONG BUS in town, have your say KAMPUNI YA SIMBA COACHES YAINGIZA MABASI MAPYA YATAKAYOKUWA YANABEBA ABIRIA 100KWA NDANI![]()
![]()

hayo mabasi mazuri tu jamani na ni makubwa ya kutosha. BRT mbona njia ya tegeta, sam nujoma road, mbagala na maeneo mengi hawajengi, that means kuna maeneo mengine hayo mabasi ya kasi ya strabarg/BRT hatatakuwa yanaenda, na hatutegemei waharibu barabara ya ubungo mwenge kama ile ya morogoro kuja kujenga barabara ya mabasi katikati hata gadeni hamna...so i think haya yatasevu kwenye maeneo kama hayo. hata ulaya mabasi mengi tu yana ukubwa kama huu. if you look at it utakuta ni kama dcm mbili au tatu kwa pamoja hilo basi. big up dewji.