Mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT) na Dar es Salaam Rapid Transit (DART)

Mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT) na Dar es Salaam Rapid Transit (DART)

UPDATES ON BUS STOPS
UJENZI WA BARABARA ZA MABASI YAENDAYO KASI UNAENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM - Global Publishers

soka1031_zps888b6464.jpg

soka1032_zps486ea8a0.jpg

soka1030_zps67419f42.jpg

soka1035_zps22ea16cf.jpg
 
Kudos kwa wadu wote, mradi unaenda vizuri kabisa, nimefagilia hiyo rangi ya kituo , sijui watabadilisha iwe blue kama kwenye renders, wadau mbgependa vituo viwe rangi gani na mabasi pia , yawe ya rangi gani?
 
Sijajua wewe ni nani katika mradi huu.....!!!!!!!!!!!! Lakini binafsi mabasi yanayotakiwa ni ya rangi yoyote..... ila standard yake yawe kama ikarusi ya zamani walikuwa wakiita kumba kumba...... Tafadhali wasituletee mabasi ya aina ya eacher au kenta.... tunataka mabasi makubwa....
 
Mkuu Mimi ni mkereketwa tu wa maendeleo ya bongo, katika mradi huu si mtu yoyote, kuhusu mabasi angalia renders vizuri, mabasi ya route ya morogoro road ni articulated Euro 3 Kama walivyosema, angalia huko juu, na Kutoka kwenye feeder stations Kama morocco , nadhani yanatakua madogo, Check basi Hilo hapo chini nadhani yatafaa sana Kutoka kwenye feeder stationsZHONG TONG BUS in town, have your say KAMPUNI YA SIMBA COACHES YAINGIZA MABASI MAPYA YATAKAYOKUWA YANABEBA ABIRIA 100
Mkurugenzi wa Simba Coaches Azim Dewji ameingiza mabasi 100 yatakayokuwa yanabeba Abiria zaidi ya 100 ambayo yatasaidia kupunguza foleni jijini Dar es Salam.Akizungumza na Wandishi wa Niccomedia TZ ofisini jijini alisema kuwa mabasi hayo pia yatakuwa yanauzwa kwa bei nafuu na Kampuni ya Simba iliyopo barabara ya Mandela maeneo ya Matumbi jijini Dar es Salaam.
IMG_2905_zps60e45fe6.jpg
KWA NDANI
IMG_2906-1_zpsb36305dd.jpg
 
Mkuu Mimi ni mkereketwa tu wa maendeleo ya bongo, katika mradi huu si mtu yoyote, kuhusu mabasi angalia renders vizuri, mabasi ya route ya morogoro road ni articulated Euro 3 Kama walivyosema, angalia huko juu, na Kutoka kwenye feeder stations Kama morocco , nadhani yanatakua madogo, Check basi Hilo hapo chini nadhani yatafaa sana Kutoka kwenye feeder stationsZHONG TONG BUS in town, have your say KAMPUNI YA SIMBA COACHES YAINGIZA MABASI MAPYA YATAKAYOKUWA YANABEBA ABIRIA 100
IMG_2905_zps60e45fe6.jpg
KWA NDANI
IMG_2906-1_zpsb36305dd.jpg

Ewaa!!! hapa ndio mwake, dcm tupa kule kama tulivyotupa vipanya....
hapa hakuna utingo wala mpiga debe..mlango wambele wa kuingilia na kulipa pesa kwa kadi na mlango wa nyuma wa kutokea, nafasi ya kushika bomba ya kumwaga, sio hali ya sasa kuadhirishana tu , imefika mahali baadhi ya vijana wanajibana nyuma ya wakina dada kwenye daladala...hovyo kabisa!
 
TAKING SHAPE , look at the bus stops and the skyline in the background​
:lol: :cheers: :banana:
 
hayo mabasi mazuri tu jamani na ni makubwa ya kutosha. BRT mbona njia ya tegeta, sam nujoma road, mbagala na maeneo mengi hawajengi, that means kuna maeneo mengine hayo mabasi ya kasi ya strabarg/BRT hatatakuwa yanaenda, na hatutegemei waharibu barabara ya ubungo mwenge kama ile ya morogoro kuja kujenga barabara ya mabasi katikati hata gadeni hamna...so i think haya yatasevu kwenye maeneo kama hayo. hata ulaya mabasi mengi tu yana ukubwa kama huu. if you look at it utakuta ni kama dcm mbili au tatu kwa pamoja hilo basi. big up dewji.
 
mradi utakua na Phase sita , itakayofuata ni kilwa road, halfu nyerere road

http://www.dart.go.tz/info/view_news_item.php?id=48&intVariationID=1&szTitle=Current

Phases.png

Detailed Map of the Gerezani and CBD Area

While the construction of the Dar Rapid Transit (DART) infrastructure phase 1 is underway, a report to begin architectural designs for Phases 2 and 3 whose distance covers 42km was on May 17, 2011 released by Kyong Dong Engineering Co. Ltd of Korea in association with Ambicon Engineerng Ltd of Tanzania.

The task to be carried out by the two companies is to prepare a detailed design of the two phases from which three components would be covered. The clusters for design include the infrastructure, the network plans and the organizational and institutional management plan.

The inception report indicates that the Phase 2 DART corridor is along Kilwa Road with a total of 19.3km from the city centre to Mbagala area while Phase 3 DART corridor is situated along Nyerere Road with a total of 23.6km from Gongolamboto to Kariakoo area.

Kilwa Road, according to the report, has two lanes in each direction with a central median enough to accommodate the proposed 2 lanes two way Rapid Transit bus Lanes. On the other hand, Nyerere Road is 2 lane 1 way from the Old Post office to Mnazimmoja and there after it is dual carriageway, 2 lane each direction to Airport area.

In August 2010, the President of Tanzania, His Execellency Dr. Jakaya Mrisho Kikwete officiated at the inauguration ceremony of DART project infrastructure development at Kivukoni Front where the construction of a Terminal is continuing. Other Terminals that are already under construction include Feeder Stations at Shikilango and Mwinyijuma along Morogoro Road and Kawawa Road, respectively

Phase 2: Kilwa Rd

Kilwa20Rd201.jpg

Phase 3
Nyerere Rd

Nyerere20Rd201.jpg
 
hayo mabasi mazuri tu jamani na ni makubwa ya kutosha. BRT mbona njia ya tegeta, sam nujoma road, mbagala na maeneo mengi hawajengi, that means kuna maeneo mengine hayo mabasi ya kasi ya strabarg/BRT hatatakuwa yanaenda, na hatutegemei waharibu barabara ya ubungo mwenge kama ile ya morogoro kuja kujenga barabara ya mabasi katikati hata gadeni hamna...so i think haya yatasevu kwenye maeneo kama hayo. hata ulaya mabasi mengi tu yana ukubwa kama huu. if you look at it utakuta ni kama dcm mbili au tatu kwa pamoja hilo basi. big up dewji.

NI VIZURI KUSEMA MABASI YAENDAYO HARAKA, KWA KUA YANA BARABARA ZAO ZISIZOINGLILIWA NA MAGARI MENGINE NA KUSABABISHA FOLENI, HILI NENO KASI WATU WENGI WANADHANI SPEED YA MABASI NDIO YA KASI, WANAANZA KUOGOPA SI TUTAKUA VILEMA NCHI NZIMA KAMA HAYA YENYEWE YA KAWAIDA YANATUUA KILA SIKU, NI MABASI YAKAIWA TU NA SPEED ZA MIJINI MNAZIJUA, SIDHANI HATA HAYA MABASI YATAENDA 60KM/H, PIA SIO MABASI YA STRABAG, STRABAG NI KAMPUNI INAYOJENGA MIUNDOMBINU YA MABASI HAYA YA HARAKA, MABASI HAYA NI VIZURI YAKAITWA DART( DAR ES SALAAM RAPID TRANSIT) AU DAR ES SALAAM BRT.

ANGALIA MCHORO HUU HAPA CHINI WA AWAMU MBALIMBLAI KWA UNDANI ZAIDI

There will be 6 phases in total

DSC03441.jpg
 
huu mradi umenisababisha nikahama mkoa, yanini kuamka saa 10 alfajiri na kurudi nyumbani saa 4 usiku?
 
Hivi huu mradi unatakiwa uanze kazi mwaka gani vile? 2015???
 
Unaonaje hii? Ferry Terminal itakavyoonekana baada ya kukamilika.

Layout design
DSC03443.jpg

Birds eye view, taken this month.
QQ56FE724720130527105204_zps54e05c1e.jpg
 
🙂 haha, hiyo picha ya mwisho chini ni screenshot kutoka google map, nilicopy mwenyewe, na si ya mwezi huu ni kitambo kidogo. kwa sasa hapo patakua na mabadiliko makubwa sana, kama kuna mdau anaweza kuchungulia kwenye mabati atu update kidogo
 
Back
Top Bottom