Mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT) na Dar es Salaam Rapid Transit (DART)

Mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT) na Dar es Salaam Rapid Transit (DART)

kasi2_zpsbd2fe0ae.jpg






kasi1_zpsa909f544.jpg





kasi_zps3dbaf489.jpg




Source
 
foreni hapa dar haitaisha..hata tukipanua barabara kiasi gan,kikubwa tunatakiwa tuwe na flyovers kwenye junctions za barabara zetu.
 
Nadhani wangekaa tena chini na kutafakari wafanye mradi gani bora zaidi ya huu. Kama ni mabasi ya kawaida(na sio city trains) yatakuwa mangapi?(yakiwa mengi yanaweza kusababisha foleni vilevile) Je watajenga flyovers kwenye sehemu ya makutano na barabara nyingine? Je nafasi za kujenga hizo barabara wanazitoa wapi na mji upo congested hivyo?zitakuwa lane ngapi? Na kwa jinsi madereva wetu walivyo, tutarajie ajali za kutisha.
Tusije tukaingia gharama za bomoabomoa halafu mradi usiwe effective enough.


Anayejua vizuri anieleweshe.
 
Nadhani wangekaa tena chini na kutafakari wafanye mradi gani bora zaidi ya huu. Kama ni mabasi ya kawaida(na sio city trains) yatakuwa mangapi?(yakiwa mengi yanaweza kusababisha foleni vilevile) Je watajenga flyovers kwenye sehemu ya makutano na barabara nyingine? Je nafasi za kujenga hizo barabara wanazitoa wapi na mji upo congested hivyo?zitakuwa lane ngapi? Na kwa jinsi madereva wetu walivyo, tutarajie ajali za kutisha.
Tusije tukaingia gharama za bomoabomoa halafu mradi usiwe effective enough.


Anayejua vizuri anieleweshe.

GONGA HIYO LINK MKUU Social Events

Nadhani hizo flyover mnazoziongelea pia zipo kwenye matayarisho nina uhakika ya kwanza itakua pale TAZARA, kwanza kabisa ukitaka kuamini mradi huu utapunguza foleni ni kwamba basi moja linaweza kureplace DCM au COASTER tano, mpaka hapo utakua umepunguza idadi ya magari barabarani, angalia link hizi hapa ujue jinsi gani BRT zinapunguza foleni, kwani city trains si tayari tuna la mwakyembe? mambo taratibu wakuu au mnasemaje, angalia BRT ya guangzhou hapa chini Social Events
 
GONGA HIYO LINK MKUU Social Events

Nadhani hizo flyover mnazoziongelea pia zipo kwenye matayarisho nina uhakika ya kwanza itakua pale TAZARA, kwanza kabisa ukitaka kuamini mradi huu utapunguza foleni ni kwamba basi moja linaweza kureplace DCM au COASTER tano, mpaka hapo utakua umepunguza idadi ya magari barabarani, angalia link hizi hapa ujue jinsi gani BRT zinapunguza foleni, kwani city trains si tayari tuna la mwakyembe? mambo taratibu wakuu au mnasemaje, angalia BRT ya guangzhou hapa chini Social Events

Inaonekana JK anafanya kitu kwenye barabara za Dar. Ajitahidi azimalizie kabla ya muda wake wa kuondoka ili awaachie wananchi ukumbusho.
 
Towards the end of last year (2012) Magufuli alinukuliwa akisema pesa za kujenga fly overs zipo. Hivi kama pesa zipo kwa nini ujenzi wa fly over kama pale Ubungo mataa usiende sambamba na ujenzi ya barabara ya magari yaendayo kasi? Wakazi wa kimara, mbezi juu, kwembe, kiluvya na watumiaji wengine wa barabara ya morogoro wamepata shida vya kutosha na ujenzi unaondelea sasa, na si busara kuja kuwaweka katika hali ile ile wakati wa ujenzi wa hiyo fly over.

Tiba
 
WB boosts DART project

By The guardian reporter
17th January 2013

  • Gives extra USD100m to finish construction

The World Bank yesterday approved USD100m in additional financing for the completion of Dar es Salaam Rapid Transit (DART) system.
According to a statement availed to The Guardian, the initiative is expected to save the economy billions of shillings lost daily in traffic jams and provide relief to at least 300,000 commuters in the city. It said the additional money from the bank’s International Development Association (IDA) will bring the total cost of the Second Central Transport Corridor Project (CTCP2) to USD290m.

“Dar es Salaam is growing rapidly”, said Philippe Dongier, World Bank’s Country Director for Tanzania, Uganda and Burundi.
“Traffic jams are a significant problem for the economy. They reduce productivity by wasting the time of road users, they threaten future growth prospects for the city and the country, and they pollute the environment.”

The DRT is implemented by the Dar es Salaam Rapid Transit (DART) agency and is aligned to Tanzania’s development strategy which underscores the need for improved transport infrastructure to achieve social and economic objectives, the statement said.

The combined works on the project, including the construction of the road works, bus-passenger terminal buildings, feeder stations, utility power relocation, will provide some 80,000 jobs upon completion in 2015.

The statement said the DART system will be operated by a USD40.9m public private partnership (PPP) arrangement with two private bus operators, one fare collector and a fund manager.

The modern system will provide rapid boarding and dedicated right of way for 148 buses with the capacity of 140 passengers each, providing both normal and express services, it said.
Additionally, another 100 buses with the capacity of 60 passengers each, will transport passengers to the trunk system through feeder stations. The entire 20.9-km road will be provided with tree-shaded bicycle and pedestrian ways on both sides, with an average distance of 500 metres between bus stops.

“We are happy with the momentum of implementation of the DART infrastructure as all works contracts have been awarded and the construction is proceeding,” said Yonas Mchomvu, the World Bank’s Transport Specialist in Tanzania.


DART in collaboration with the Surface and Marine Transport Authority (Sumatra) and the Daladala Owners Association (DARCOBOA) are currently mobilising local transport operators to form companies that would take part in the bidding for the DART bus operation through joint venture pacts and/or operation contracts with experienced international operators.

Further, preferential access to shares in the DART bus operation will be given to the 1,800 daladalas (commuter mini-buses) expected to be displaced when the project takes off.

President Jakaya Kikwete inaugurated the DART project in September last year, whereby he said that upon completion more than 180 rapid buses would be introduced, thus reducing pressure at Ubungo where currently more than 300 buses serve commuters.
The city railway introduced in October last year has also been complementary to the commuter bus system in the city.
Thanking the bank for financing the project, he said the government will never dare to play with the opportunities funded by financial institutions.
Tanroads acting chief executive Patrick Mfugale said the 20.9-kms rapid highway will run from Kimara through Magomeni to Kivukoni and Morocco to Magomeni and finally from Fire Station to Kariakoo.
He said construction of the Highway will be of concrete and will be seven metres wide.

SOURCE: THE GUARDIAN
 
Mbona kama mradi umeanza kusuasua tangu january speed imepungua tofauti na walivyoanza

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
updates morogoro road/lumumba road, pale mororgoro road/libya sijui kamera imedondoka au umepulizwa na upepo inaonyesha jengo lingine, imetuharibia kweli kupiga deo pande lile :lol:

672A547D540D-3_zpsab22628e.jpg
 
Bus Rapid Transit is world wide option to combat traffic jam.....
https://www.lincolninst.edu/pubs/dl/2188_1514_Bus_Rapid_Transit_in_Latin_America_0113LL.pdf
 
Back
Top Bottom