Mradi wa Maji wa Miji 28 Korogwe, Mkandarasi na siku zake 9

Mradi wa Maji wa Miji 28 Korogwe, Mkandarasi na siku zake 9

Wizara ya Maji

Govt Institution
Joined
Oct 2, 2024
Posts
34
Reaction score
20
SIKU 9 ZA MKANDARASI – MIJI 28 KOROGWE, HANDENI. MUHEZA NA PANGANI

Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amempa Mkandarasi wa Mradi wa Maji wa Miji 28 Korogwe siku 9 kuanza majaribio ya kusukuma maji kutoka mtoni hadi kwenye Mtambo wa Kutibu Maji (WTP).

Agizo hilo limetolewa Septemba 21, 2026, huku mradi ukitarajiwa kuanza kutoa huduma Desemba 2026, ukinufaisha Korogwe, Handeni, Muheza na Pangani.

“Siku tisa tu. Ifikapo Septemba 30 uwe umeanza majaribio.” – Mhe. Aweso

 
Back
Top Bottom