Mradi wa nyumba za kupanga wa Dr. Hussein Mwinyi Dar

Dr. Hussein Ali Mwinyi Uwezekano Mkubwa wa kumrisi Rais Jakwaya atakapomaliza kipindi chake cha miaka mitano ijayo .
 
Dr. Hussein Ali Mwinyi Uwezekano Mkubwa wa kumrisi Rais Jakwaya atakapomaliza kipindi chake cha miaka mitano ijayo .

The disgusting truth is that this is not that farfetched!

Despite all the scandals and Mbagalagate to ice the cake!
 

Jo,
Ningependa niwarudishe nyuma kidogo. Makadirio ya jengo hilo pamoja na Ghasia zake zote ni Tzsh 10 billion, na kijumba cha BOT (Ndulus) ni Tzsh 1 billion. (Mizani yangu inashindwa kufanya kazi) Naomba mjaribu zenu.
 
Si ajabu huyu Hussein Mwinyi, akiwa kama Waziri wa Ulinzi, atakuwa yumo kwenye dili za kusafirisha silaha haramu (weapons smuggling) kwenye nchi zinazopakana na Tanzania (And possibly beyond, kama Southern Sudan) akishirikiana na vigogo wa JWTZ kama General Mboma?
 
kama Ujasusi wako kusema Dr. Mwinyi kasomea Uarabuni..basi wewe si Jasusi ni Unafanana na Shigongo..kwa Udaku..km ukisema hujui huwezi kuitwa Mjinga...!!!
Tuambie basi udaktari wake aliupatia wapi.
 
 
Sisi wengine tunasubiri kuona jinsi watakavyotenganisha SIASA na BIASHARA hasa kwa hawa vigogo walioko madarakani kwa sasa.
 
yap tabu hapa ni namna ya huyu jamaa atavyorun biashara na siasa, kwani lazma atacompromise kimoja, na hicho kimoja ni uongozi wa siasa! thats why hatutakaa tufanikiwe!
 

Naona unanichanganya na ma corporate lawyers sasa.

Wewe umesema mtaji batili, nakuuliza batili kivipi na wewe unanijibu kwa swali "alipata kwa njia halali?" . Burden of proof iko kwako wewe accuser.Toa data, sio unadandia magari tu.
 

Nimesoma post ya Jojipoji na sijaona kama amedai kuwa Dr. Mwinyi ni fisadi. Mimi nilivyoelewa ni kuwa alitaka kutoa taarifa tu kuwa huyu mheshimiwa ana huu mradi wa kujenga nyumba. Na mimi naona ni sawa tu hasa ukizingatia kuwa Dr. Mwinyi ni kiongozi mkubwa nchini.
 

Title ya thread ime badilishwa mkuu. Mwanzo ilikua ikisomeka "Ufisadi wa Dr. Hussein Mwinyi" na hata sasa hivi ukimquote mtu utaona title gani inatokea.
 

...well said!

na ikithibitika alikipata kiwanja kwa njia halali Mheshimiwa huyu ataombwa radhi? Haikuwa ajabu enzi za Mwalimu waheshimiwa kujenga mitaa ya Seaview, na huenda ameachiwa urithi na wazee wake.

Hakuna ajabu yeyote Dr. Mwinyi kuingia ubia na wawekezaji fulani kujenga apartments Blocks.

Mfano; Maeneo mengi ya Upanga utakuta hizo Blocks zenye majina ya 'Clients' ambao ni watoto/wajukuu wa wazee waliokuwa wanamiliki hizo plots miaka ya 70's... ambazo wengi wao wameingia mikataba yaku-lease plots zao kwa wawekezaji.
 
Aisee Tata umenena! Hakuna mahali JojiPoji anaonyesha au kusema ufisadi. Katoa tu taarifa. Nashannga Kinyambiss kukurupuka hivyo na kututukana wna JF wote, kwamba tumo choo cha bar! Angalia kichwa cha habari "Mradi wa nyumba za kupanga wa Dr. Hussein Mwinyi Dar "..the soma habari yenyewe.....Project
Sea View Apartments



Status
July – December 2007 All detailed designs and bills of quantities completed. Building permit obtained in January 2008 Construction due to start


Client
Dr. Hussein Ali Mwinyi P. O. Box 9380
Dar es Salaam


Description
A 12 storey apartments building with 27 luxurious apartments; 1st to10th floor accommodating 5 duplex apartments occupying the middle, 20 deluxe apartments, two on either side of the floors; the 11th floor accommodating 2 identical penthouses.


Estimated cost
Tshs. 10 billion


Attached Files
Mwinyi H.docx (291.1 KB, 0 views)
************************************
Kun neno ufisadi humo? au lolote linalomaanisha hivyo? Au limo ndani ya Attachement, kwani nayo haifunguki.
Mimi niko addicted na JF...una maana mimi niko addicted kuwa choo cha bar? Kinyambiss tafadhali ndugu.
 

Title ya thread ime badilishwa mkuu. Mwanzo ilikua ikisomeka "Ufisadi wa Dr. Hussein Mwinyi" na hata sasa hivi ukimquote mtu utaona title gani inatokea.

Nadhani mods walifanya kosa kwa kuama kumodify title ya thread maana ina cause confusi kwa nyie mlioingia baadae kwenye mjadala.
 

Kiwanja kilikuwa cha NHC na sidhani kabla ya utaifishaji wa 1967 babayake alimiliki jengo hapo Seaview
 

mimi cjaona sehemu ya mtoa maada alipoconclude kuhusu how the fund for the project came about, yeye ametoa thread yake just to show people and discuss how the project is going on, cjaona neno hata moja la ufisadi, it just came in peoples suggestion whereby people are worried of where that sum is coming from, that is it people
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…