Mradi wa REA Umekiheshimisha Chama Tawala

Mradi wa REA Umekiheshimisha Chama Tawala

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

MHE. TIMOTHEO MNZAVA - MRADI WA REA UMEKIHESHIMISHA CHAMA TAWALA

"Manufaa ya gesi asilia ni makubwa, sekta ya gesi inakuwa kwa kasi kubwa na ni rahisi kusafirisha na watu wana matumaini makubwa ya kunufaika na gesi asilia." - Mhe. Timotheo Mnzava, Mbunge Jimbo la Korogwe

"Mkandarasi anapatikana kwa njia ya ushindani kwa kuzingatia vigezo vya kifedha na vya kiutaalamu (Kiufundi) na ndiyo Mfumo uliotumika kufika hapa tulipofikia, EWURA jambo hili lisiwe maneno lisimamiwe vizuri." - Mhe. Timotheo Mnzava, Mbunge Jimbo la Korogwe

"REA atimize makubaliano tuliyokubaliana kwa wakati na mkiona Kuna ambayo yanaenda kinyume msisite kuchukua hatua za kisheria Ili wananchi wapate umeme." - Mhe. Timotheo Mnzava, Mbunge Jimbo la Korogwe

"Kama Kuna miradi iliyoipa heshima Chama Tawala nchini hii ni Mradi wa kusambaza umeme Vijijini kwani ni Mradi unaoenda kubadilisha maisha ya mtanzania." - Mhe. Timotheo Mnzava, Mbunge Jimbo la Korogwe

"Malalamiko na manung'uniko yamekuwa makubwa, Tembo wanauwa na kuharibu Mazao ya wananchi wetu, "Mmekwama wapi? Haiwezekani, kwanini zoezi haliendelei? Kuhifadhi eneo la Ngorongoro" - Mhe. Timotheo Mnzava, Mbunge Jimbo la Korogwe Vijijini.
 

Attachments

  • Fxm_Au8WwAIsZHC.jpg
    Fxm_Au8WwAIsZHC.jpg
    31.8 KB · Views: 2
  • FxjR4yEXwBQtM7V.jpg
    FxjR4yEXwBQtM7V.jpg
    39.3 KB · Views: 3
Back
Top Bottom