Mradi wa SGR Mwanza- Isaka

Ingekuwa busara zaidi kama SGR ingejengwa kwa muendelezo kutoka Dar/ Mor / Dom/ Tabora, kuliko kuruka kipande Cha Dodoma/ Tabora.
Hali ilivyo sasa hata kipande Cha Mwanza/ Isaka kikikamilika hakitaweza kutumika kabla kipande cha Dar /Tabora hakijakamilika.
 
Nawakumbusha tu kuwa kipande cha Dar Moro kitakamilika Nov 2019
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…