Burundi, Rwanda hawawezi pitisha mizigo yao Kenya gharama ya kisafirisha itakuwa kubwa. Pia tayari SGR inajengwa toka Kigoma kwenda Burundi na project ilishasainiwa tayari.No one said SGR imekamilika, wanamalizia section inayoingia Uganda sasa na ujenzi umeanza, tunaelekea kupoteza Uganda, Rwanda,Eastern Congo na Burundi, soko la zaidi ya watu milioni 100,hata kwa sasa Kenya wana soko la zaidi ya 60% hizo nchi, wakisha control hilo soko itakuwa ngumu sana kulipata tena hata SGR ikikamilika, tumefanya makosa makubwa sana kuachia hii route ya kutuletea mabilioni kwenye uchumi wetu, anyway still naamini tutaweza kupata soko bado lakini itakuwa ngumu sana
Sana sana hao wasiopenda maendeleo ya nchi yetu wao wanapenda kusikia mambo mabaya tu.Sisi wabongo huwa tunapenda habari mbaya tu.
Yes kwa sasa Dar Ina dominate cargo za Rwanda almost 70% lakini efficiency ya Mombasa port imeanza kuchukua soko la Dar, na Rwanda hawataki kutegemea port moja tuu kutokana na mambo ya siasa na kuna kutokuaminiana kiasi Kati Tanzania na Rwanda kutokana na issue za Eastern Congo, hiyo reli ya Mombasa to Uganda ikiisha tegemea mizigo zaidi ya Rwanda kuanza kupitia northern corridor, lakini at the end uhusiano mzuri ,cheaper and efficient route will winBurundi, Rwanda hawawezi pitisha mizigo yao Kenya gharama ya kisafirisha itakuwa kubwa. Pia tayari SGR inajengwa toka Kigoma kwenda Burundi na project ilishasainiwa tayari.
So maoni tofauti ni kutopenda maendeleo ya nchi yetu, poleni sanaSana sana hao wasiopenda maendeleo ya nchi yetu wao wanapenda kusikia mambo mabaya tu.
Mkuu Rwanda ni kama Wilaya ya Kahama kwa idadi ya wananchi hivyo haiwezi kutuadhiri sana labda ungesema DRC na Uganda ambazo kisiasa tuko vizuri nao sana tu.Yes kwa sasa Dar Ina dominate cargo za Rwanda almost 70% lakini efficiency ya Mombasa port imeanza kuchukua soko la Dar, na Rwanda hawataki kutegemea port moja tuu kutokana na mambo ya siasa na kuna kutokuaminiana kiasi Kati Tanzania na Rwanda kutokana na issue za Eastern Congo, hiyo reli ya Mombasa to Uganda ikiisha tegemea mizigo zaidi ya Rwanda kuanza kupitia northern corridor, lakini at the end uhusiano mzuri ,cheaper and efficient route will win
Rwanda ina 15 million people, Kahama hata million moja haijafika, huna data na acha siasa mambo muhimu ya kiuchumi, acha math and economics ziamueMkuu Rwanda ni kama Wilaya ya Kahama kwa idadi ya wananchi hivyo haiwezi kutuadhiri sana labda ungesema DRC na Uganda ambazo kisiasa tuko vizuri nao sana tu.