BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 525
- 1,257
Jamani wanaohusika naomba msimamie kwa ukaribu sana mradi wa SGR unaoanza Itingi mpaka Tura, mfatilie malipo ya Wafanyakazi kutolipwa mishahara yao na kunyimwa haki kibao za kikazi
Kubwa zaidi na linaloumiza zaidi ukweli tunapigwa sana SGR hakuna ubora wowote
Kwa ufupi SGR inalipuliwa na ubora ni asilimia 0 kabisa, na pia mishahara inakatwa sana
Kinachofanyika pia kwa kuwa kuna makampuni tofauti kila mtu ambaye anaona anaweza kupiga sehemu anafanya upigaji, hakuna anayejali
Enzi za Magufuli wengi walikuwa waoga na hata upigaji ulikuwa ukifanyika kwa siri sana, sasa hivi wanaona hakuna kiongozi wa Serikali anayejali wana hawana uwoga kama waliokuwa nao kipindi kile, upigaji umekuwa mkubwa, Serikali iangalie la sivyo tutatengenezea kitu ambacho hakina ubora kisha baadaye majanga yaanze kutokea.