Mradi wa Shule

Mradi wa Shule

Maisha Bora

Member
Joined
Mar 20, 2011
Posts
8
Reaction score
0
Hello bra and Sist.

Naomba msaada wa kuanzisha shule (Sekondari ya kisasa ) yenye madarasa manne na ofisi mbili za walimu.

Shule hiyo iwe katika mazingira ya Dar es salaam.

pia na njia ya kuisajiri necta.
 
Kaa chini vizuri ili utengeneze hitaji lako vizuri.

Kama nimekuelewa ni kwamba unataka kuanzisha shule, shule hiyo iwe Dsm, tatizo ni eneo la kujenga shule hiyo. Na baadae uweze kuisajili, kwa hiyo usaidiwe hatua za kupita ili ufanikiwe usajili.
 
Shule ya kisasa yenye madarasa manne na ofisi mbili za walimu.
 
hahahahaha!
Hujaielewa elewa.
Anataka msaada kutoka kwa BRA and sist. Lol!

the way i understood. nikama vile anataka ajengewe shule then akabidhiwe kwa kupewa bure na akatoa conditions lazima ijengwe Dar. duh. Hii thread tuite tungo tata?
 
the way i understood. nikama vile anataka ajengewe shule then akabidhiwe kwa kupewa bure na akatoa conditions lazima ijengwe Dar. duh. Hii thread tuite tungo tata?

hii kweli tungo tata. Ipelekwe jukwaa la lugha.
 
Lazima kiwanja kiwe maeneo ya makazi ya watu
Matundu ya choo yasipungue 12 wasichana 6 na wavulana 6
Madarasa uenye viwango vya nekta
Walimu waliosajiliwa
Vifaa vyote muhimu vya shule
Akaunti ya shule isiyopungua kiasi cha shilingi 64m
Ofisi za walimu
 
Back
Top Bottom