05CUBA
JF-Expert Member
- Apr 12, 2025
- 1,106
- 1,650
Salaam,
Kama kichwa kinavyojipambanua, naombeni usaidizi wa mawazo juu ya ufugaji sungura ( kwa size ya kati, sio mdogo wala mkubwa sana) na zaidi nisaidieni ni wapi naweza Pata soko la uhakika la sungura.
Wengi watauliza mahala nilipo, matharan mkoa ila wadau naomba mawazo ya jumla ambayo yataweza kumnufaisha kila mmoja ndani ya jukwaa hili.