Anza kwenda Msikitini, utajua Mbegu za Majini zinapatikana wapi.Napata wapi majini ya mbegu kaka ....πππ
Kutokuona kwako haimaanishi hazipo....!Aaaa, mimi ni mkristo ila nimekulia familia yakiislam ... bado sijawah one wakifanya hizo shughuri.
Awa kiongoz, ntaleta mrejeshi ... kesho ijumaa.Kutokuona kwako haimaanishi hazipo....!
Umesahau Kuna Aya inasema Majini yalifurahi siku yalipoisikia Quran kwamba ni nzuri na ya Ajabu...!?
Sasa kama ndivyo, ninaposema uende Msikitini utapata Mbegu za Majini huko, kipi hasa uelewi...!?