Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

Sio kustahimili magonjwa tu hata maziwa ya kutosha mkuu sjajùa kwa ngmbe ulowaona kuna changamoto gan nyngn ukiachna na breed malisho na management ndo vnamchngo mkubwa kwnye uzalishaji wa maziwa kuliko hata factor ya breed
Sawa, nashukuru sana. Hao cross wenyewe wa boran na fresian sijafahamu vizuri nianzie wapi kuwatafuta. Shamba langu lipo pwani. Ni namna ipi bora ya kupata good breeds?
 
Sawa, nashukuru sana. Hao cross wenyewe wa boran na fresian sijafahamu vizuri nianzie wapi kuwatafuta. Shamba langu lipo pwani. Ni namna ipi bora ya kupata good breeds?
Labda mkuu unaweza kunambia una aina gan ya ngmbe kwnye shamba lako
 
Labda mkuu unaweza kunambia una aina gan ya ngmbe kwnye shamba lako
Ndio nimeanza kutafuta ng'ombe nina shamba tu na maji. Nimeanza kufanya research ya aina ya breed, nikajiridhisha hiyo boan×fresian ndiyo pendekezo la wengi
 
Mkuu kwa wafugaji weng huwa madume huwa hatuyapendele kuyafuga sana kutokana na shida pia ya kutunza maana dume akishakuwa na nguvu tuu lazima apige watu na kuvunja mabanda hasa ka hutachukua tahadhari nying dhid yake pia gharama ya chakula
 
Vizuri mkuu ila sthan km kuna shamba linazalisha mitamba chotara wengi wanazalisha wenywe mashambani labda wanajamvi waje watupe connection ni mahala gan wanaweza kupatikana
Ndio nimeanza kutafuta ng'ombe nina shamba tu na maji. Nimeanza kufanya research ya aina ya breed, nikajiridhisha hiyo boan×fresian ndiyo pendekezo la wengi
 
Uwahasi kwa sababu ipi?
 
Vizuri mkuu ila sthan km kuna shamba linazalisha mitamba chotara wengi wanazalisha wenywe mashambani labda wanajamvi waje watupe connection ni mahala gan wanaweza kupatikana
Nilikua nawaza kujaribu kuanza na wa kienyeji boran au aina nyingine then kuwapandishia kwa mbegu za kisasa kama fresian. Lakini naona baadhi ya members humu wana uzoefu mbaya na upandikizaji. Wewe unaonaje njia hii ya kuanza?
 
Ni wazo zuri mkuu mbegu kisasa kama friesian zinapatikana ila pia boran bei zake zitakua ni rahisi ukilinganisha na ngombe wa kisasa so utapata machotara wa 50% friesian kwa 50% boran
 
Ni wazo zuri mkuu mbegu kisasa kama friesian zinapatikana ila pia boran bei zake zitakua ni rahisi ukilinganisha na ngombe wa kisasa so utapata machotara wa 50% friesian kwa 50% boran
Ng'ombe mbegu za kisasa mfano friesian mwenye mimba anapatikana kwa wastani wa bei gani?
 
Mzee una kiwanda?
 
Kuna nyasi mpya zinaitwa juncao zinafanana na elephant grass ni nzuri sana kupanda kwa ajili ya malisho ya ng'ombe,eneo dogo unalisha ng'ombe wengi kwa mwaka.
Kwa masuala ya ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, ng'ombe wa nyama,mbuzi na kondoo,malisho,matunzo na biashara ya maziwa, ng'ombe wa nyama na mbuzi nichek.
0756625286.
 
Mkuu tafuta habari za huyu FLECKVIEH huyu ni balaa anatoa hadi lita 40 akifikisha uzao wa 3
Jamaa akizingatia hili atakuja kukushukuru

Huyu ndio 'Simmental' mwenyewe

Jaman Tanzania bado tunamung'unya maneno huyu ng'ombe hajajulikana anapatikana wapi
 
Upo wapi mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…