Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

Japo picha y majani hayo mdau
 
kweli kabisa. Mimi katika shamba langu, nilijaribu mara 3 kutumia AI. Lakini sikufanikiwa. Nilichokipata ni kuchelewa kupata ndamana, maana ilinibidi nimtafute dume. Mwishowe, niliamua kuwa na dume
 
kweli kabisa. Mimi katika shamba langu, nilijaribu mara 3 kutumia AI. Lakini sikufanikiwa. Nilichokipata ni kuchelewa kupata ndamana, maana ilinibidi nimtafute dume. Mwishowe, niliamua kuwa na dume
kwa nini usitumie AI
 
uza dume moja nunu mtungi kasome kozi ni mwezi tuh kama sikosei vuna mbegu zako hifadhi fanya AI mwenyewe
 
uza dume moja nunu mtungi kasome kozi ni mwezi tuh kama sikosei vuna mbegu zako hifadhi fanya AI mwenyewe
Huu ni ushauri bora kabisa kuhusu uhamilishaji (kupandisha kwa chupa) au AI.
Safi sana. Kama unao muda unaweza kufanya hivi.
 
Natafuta breed nzuri ya Ng'ombe wa Maziwa anayeweza Fanya vizuri Kanda ya Ziwa,specifically Geita.Kuna Mwenye uzoefu na Kabuki au Ukiriguru?Au hata Mawasiliano ya Kituo cha Mabuki?Au kuna anayejua taratibu za kuleta Mnyama toka Nchi Jirani Kama Kenya au Uganda?
Natanguliza Shukrani.
 
Nenda kitulo nyanda za juu kusini au wasiliana na kampuni ya Asas nao pia huuza ng'ombe πŸ„ wa maziwa wenye mimba.
 
Nenda kitulo nyanda za juu kusini au wasiliana na kampuni ya Asas nao pia huuza ng'ombe πŸ„ wa maziwa wenye mimba.
Shukrani mkuu.Mashaka yangu ni kama hawa wa Kituo na ASAS watafanya vema Maeneo ya Joto kama Geita!
 
Nenda kitulo nyanda za juu kusini au wasiliana na kampuni ya Asas nao pia huuza ng'ombe πŸ„ wa maziwa wenye mimba.
Kitulo hawana ng'ombe tena wanaouza wale, washapigwa bao na wanyakyusa wamewaibia sijui. Inasikitisha sana tunategemea mashamba ya serikali yatusaidie kupata mitamba bora kwa wepesi, lakini wanakwambia wamesitisha kuuza. Ng'ombe anauza ASAS naonaga anaewasafirisha friesian Holstein toka SA fatilia page yao ya afrifarms pale Instagram huwa wanawapost wakishawaleta.
 
Pia mtu unaweza agiza mbegu Kenya kisha ukapandikiza ng'ombe πŸ„ wako wa kienyeji.
 
Pia mtu unaweza agiza mbegu Kenya kisha ukapandikiza ng'ombe πŸ„ wako wa kienyeji.
Hiyo sio shida, tunapenda kuona serikali inachangia ukuwaji uchumi wa wafugaji nilipenda sana kama ningepanda ng'ombe wa kitulo lakini sikupata hivyo nilienda Luteba Mwakaleli kununua kwq wenyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…