The Infamous
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 731
- 121
wapi upo tufanye mawasilianao yakuja kuwaona!! toa uwezo wa kutoa maziwa! na aina ya ngombeKama hujanunu ng,ombe bado,ninao wenye mimba ya miez 8 na siku 14 bei yake 1milion ngo,ombe mwenyewe ana zaid ya kilo 450
Ndugu wasomaji, natafuta ng'ombe wa maziwa mwenye uwezo wa kutoa lita kuanzia 21 na zaidi kwa siku, awe wa uzao wa pili na na ana mimba ya 8months au zaidi. sema na bei. sihitaji dalali. Samahani kama kuna mtu anafahamu wapi naweza pata, naomba anisadie.
Sema wewe sasa hivi uko wapi na huyo ng`ombe utamfugia wapi. Hii itakusaidia kupunguza gharama za kumsafirisha. Kwa mfano ng`ombe hao wapo ASAS Iringa na ww uko Musoma, kwa vyo vyote inakuwa hailipi.
Mkuu Malila kuna ng'ombe wanaoweza kutoa zaidi ya lita 20 kwa siku kwa mazingira ya joto kama Dar na Pwani?
Hebu waone RUVU JKT waweza kupata pale....
nitafute 0757662401 ila nipo arusha utapata wa lita 12 asubuhi na jioni liter 12
Ninao nawafuga
Teh teh teh teh!hivi bei ya ng'ombe mwanamke mwenye umri wa mwaka na nusu hadi mitatu ni sh ngapi jamani?