Amani ya bwana iwe pamoja nanyi,
Mwaka 2014 kuna huu mradi ulianzishwa wenye thamani zaidi ya Tsh Bilioni mbili (2 bil. Tsh), ambao ulilenga kumuwezesha mwanamke wa kitanzania katika elimu, afya. Ila cha ajabu kumekuwa na upigaji wa kutisha kwani katika hiyo bilioni 2+ , kiasi cha milioni 800 tu ndizo zimetumika katika utekelezaji wa mradi huo na kiasi kilichobaki zimeliwa na wajanja. Hata maodita(auditors) wametiwa mfukoni, kitu ambacho hata mradi wenyewe umeisha kiajabu ajabu na sintofahamu nyingi.
Nitoe wito kwa Mama wetu Mpendwa Salima na vyombo pendwa kufuatilia hili swala (na sio mimi), hasa Katibu Mtendaji wa huu mradi.
Note: Kuna wale mtakaosema fedha za wafadhili si za serikali, ila kumbukeni hizi zilitokewa kwa ajili ya maendeleo ya dada, bibi na mama zetu hivyo si vibaya kujua mwenendo wake.
Mbarikiwe sana.