Tetesi: Mradi wa "WAMA" una ufisadi mkubwa

kamarah

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2016
Posts
950
Reaction score
1,931
Amani ya bwana iwe pamoja nanyi,

Mwaka 2014 kuna huu mradi ulianzishwa wenye thamani zaidi ya Tsh Bilioni mbili (2 bil. Tsh), ambao ulilenga kumuwezesha mwanamke wa kitanzania katika elimu, afya. Ila cha ajabu kumekuwa na upigaji wa kutisha kwani katika hiyo bilioni 2+ , kiasi cha milioni 800 tu ndizo zimetumika katika utekelezaji wa mradi huo na kiasi kilichobaki zimeliwa na wajanja. Hata maodita(auditors) wametiwa mfukoni, kitu ambacho hata mradi wenyewe umeisha kiajabu ajabu na sintofahamu nyingi.

Nitoe wito kwa Mama wetu Mpendwa Salima na vyombo pendwa kufuatilia hili swala (na sio mimi), hasa Katibu Mtendaji wa huu mradi.

Note: Kuna wale mtakaosema fedha za wafadhili si za serikali, ila kumbukeni hizi zilitokewa kwa ajili ya maendeleo ya dada, bibi na mama zetu hivyo si vibaya kujua mwenendo wake.

Mbarikiwe sana.
 
Kama waliozitoa hawana tatizo na wanaona poa tu wewe kinakukereketa nini?
 
kuna kitengo fulani cha serikali najua kuna mianya watu wanapiga ela si mchezo tena sana ila waziri wake anajua ameziba mianya lakini sisi tuliopo uku mtaani tunaona kwamba hakuna alichoziba nashindwa nifanyeje mali ya umma inaibiwa, , Mungu Atusaidie Walengwa Wa Huduma Yoyote Wafikiwe Bila Wizi
 
Upigaji Upo kila mahali mkuu.. La msingi na sekondari pigania shibe yako.. Kila mbuzi anakula kutokana na urefu Wa kamba yake
 
I hope ile shule ya Nyakawama I guess bado inaendelea!
Iko Rufiji...,,sad
 
Back
Top Bottom