Mradi wa zinduka na shule za sekondari mkoa wa Mtwara

Sibhonike

Senior Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
156
Reaction score
16
Leo wanafanya uzinduzi wa ZINDUKA,
wapo Tandahimba Sekondari.
Wameunganika na baadhi ya shule zilizopo wilayani Tandahimba.
Huu muda ni wa vipindi darasani, lakini vimevunjwa.
Taarifa nilizozipata, kuanzia saa 4 asubuhi watoto wapo kwenye uzinduzi huo.
 



Kuna tetesi nimezipata hapa, kuwa kugawa hizo net/chandarua ni hadi mwezi wa 5 au 6.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…