Mradi wetu wa maghorofa jijini Nairobi ulioanzishwa na January Makamba unaendeleaje?

Mradi wetu wa maghorofa jijini Nairobi ulioanzishwa na January Makamba unaendeleaje?

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
20,141
Reaction score
24,449
January makamba alipokuwa waziri wa mambo ya nje alizindua mradi wa maghorofa ya vitega uchumi huko Nairobi tangu alipofurushwa kwenye nafasi yake hatujapata tena taarifa kama mradi unaendelea au umekufa. Tafwadhali tupewe taarifa tujue sie walipa kodi!
 

Attachments

  • Screenshot_20250308_063457_Chrome.jpg
    Screenshot_20250308_063457_Chrome.jpg
    151 KB · Views: 33
January makamba alipokuwa waziri wa mambo ya nje alizindua mradi wa maghorofa ya vitega uchumi huko nairobi tangu alipofurushwa kwenye nafasi yake hatujapata tena taarifa kama mradi unaendelea au umekufa...tafwadhali tupewe taarifa tujue sie walipa kodi!
Ilikuwa white elephant, na mtoto wa mjini aliwaingiza chaka, bahati nzuri mama alishtukia mchongo
 
Back
Top Bottom