ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
ukitaka ujue wino ni hatariKwani hawa watu hawako smart kiasi cha kufanya mambo kizembe kizembe namna hii ilhali mara zote askari huwa wako smart zaidi kuliko raia?
Yaani sisi raia tunataka kujifanya ndiyo smart kuliko watu ambao ni professional?
Hili tukio limefanywa makusudi. Askari ni watu smart mno hawawezi kufanya kitu kizembe kizembe namna hii.
Mbali na hayo, kwa ujumla wao, fact ni kwamba askari huwa ni waadilifu kuliko raia
Lakini ,, nionavyo na kufikiria mimi ,, kunitambua tu peke yake haitoshi kunitia hatianiUnadhani kukana shitaka pekee ndiyo kutakuepusha na mkono wa sheria?
Kila mtuhumiwa akisomewa shitaka huwa anakana lakini kadri mwenendo wa kesi unavyoenda na ushahidi kutolewa mahakamani ndipo watuhumiwa wanapokuwa karibu zaidi na uhusika wa kosa husika.
Shahidi namba moja ni mwathiriwa wa tukio hivyo yeye ndiye atakayetoa ushahidi mzuri ikiwemo kumtambua mtuhumiwa kizimbani.
Anahitaji faraja hata wewe unajua😅Wee huogopiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii kesi sahvi inakoelekea 😄Wewe kamanda kwenye CHADEMA mna msimamo gani kuhusu hii kesi?
Kuna wanaharakati wapo kwa maslahi ya umaarufu wao hivi akiambiwa aithibitishie jamii kama huyo mama ndiye ataweza?Leo, 20.08.2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imesajili (Admission No. 000058901) malalamiko (complaint) ya Wakili Kisabo dhidi ya Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) FATUMA KIGONDO ambaye ndiye “afande” aliyetuma genge lake la uhalifu kumbaka na kumlawiti JM.
Pia soma: 'Afande' aliyeagiza binti wa Yombo abakwe pamoja na mtuhumiwa wa 5 wako wapi? Kwanini wanamlinda kiasi hiki?
Pia soma
Hahahahaha linafaa haswaaBonge la Jimama, au ni Lishangazi!
Kwani Kwenye biblia wanaandikaje?Ila Wakili Msomi Peter Madeleka ana lugha kali sana. Yaani hapindishi
Inaelekea pazuri. Polisi nao wanakomaa kukwepa mishale ya wananchi. Ila naona itabidi wamtoe tu huyo kamanda wao ili kujisafisha.Hii kesi sahvi inakoelekea 😄
Acha sahv tuwe watizimaji na wasikilizaji
Ova
Kumtia hatiani ni rahisi sana kama kilamtu atamdondokea yeye yani shaidi wa kwanza mpaka walalamikiwa wa kosa tajwa.Lakini ,, nionavyo na kufikiria mimi ,, kunitambua tu peke yake haitoshi kunitia hatiani
Vipi kama muhusika tunafamiana kitambo tu labda kwasababu tunaishi pamoja mtaa mmoja au tumekuwa tukiona mahala fulani mara nyingi ,, na kwasababu anazozijua yeye kaamua kushirikiana na hao majamaa kunichafua kwa kunitaja katika sekeseke hili ??..
Ni ushihidi gani utakuwa na nguvu ya kumtia hatiani huyu aliowatuma ?? Je ni wa sauti ? Picha au maandishi ?? ,, Vipi kama aliyewatuma alikuwa too smart kiasi kwamba katika aina zote tatu za ushahidi niliojiuliza hapo juu (maandishi (mesegi ) picha au sauti ) hakuacha alama yeyeto mfano
Wakati anawatuma hakupiga simu kusema walimrekodi akiongea ,,au pindi walipokutana mahala kupanga mikakati ya tukio hili hakuna picha ilipigwa ,, au hutumia jumbe yeyeto kuwapa maelekezo wahausika ,, je bado kutakuwa na ushahidi wenye nguvu kumuweka hatiani katika kesi hii ??? Nimejaribu kuwaza tu ntashukuru sna ukinipa ufafanuzi juu ya maswi yangu haya
Hapo nimekuelewa,,,Kumtia hatiani ni rahisi sana kama kilamtu atamdondokea yeye yani shaidi wa kwanza mpaka walalamikiwa wa kosa tajwa.
Ila kama afande hatabainishwa na woteee hata walofungua kesi wataitoa wenyewe
Kama alikuwapo eneo la tukio aya binti alivyoambiwa omba msamaha afande mbele yake atoweza mtambua uyo mtuLakini ,, nionavyo na kufikiria mimi ,, kunitambua tu peke yake haitoshi kunitia hatiani
Vipi kama muhusika tunafamiana kitambo tu labda kwasababu tunaishi pamoja mtaa mmoja au tumekuwa tukiona mahala fulani mara nyingi ,, na kwasababu anazozijua yeye kaamua kushirikiana na hao majamaa kunichafua kwa kunitaja katika sekeseke hili ??..
Ni ushihidi gani utakuwa na nguvu ya kumtia hatiani huyu aliowatuma ?? Je ni wa sauti ? Picha au maandishi ?? ,, Vipi kama aliyewatuma alikuwa too smart kiasi kwamba katika aina zote tatu za ushahidi niliojiuliza hapo juu (maandishi (mesegi ) picha au sauti ) hakuacha alama yeyeto mfano
Wakati anawatuma hakupiga simu kusema walimrekodi akiongea ,,au pindi walipokutana mahala kupanga mikakati ya tukio hili hakuna picha ilipigwa ,, au hutumia jumbe yeyeto kuwapa maelekezo wahausika ,, je bado kutakuwa na ushahidi wenye nguvu kumuweka hatiani katika kesi hii ??? Nimejaribu kuwaza tu ntashukuru sna ukinipa ufafanuzi juu ya maswi yangu haya
Wewe kamanda kwenye CHADEMA mna msimamo gani kuhusu hii kesi?
Niliwahi kukaa na Polisi kwenye kituo kimoja cha Polisi mwaka 2010 kwa muda wa masaa yasiyopungua 36 na kuanzia pale ndiyo nilipoweza kupata angalau picha ya namna ambavyo Polisii huwa wanayofanya kaziHakuna polisi amewahi kuwa smart hapa tanzania. Utkuwa smsrt unaposhughulika na la mwingine tu.
Hawahawa polisi wanakamatishwa na raia kwa rushwa za buku 3?
Kama umesikia maelezo ya huyo boss wao RPC ambae ndio anadhaniwa kuwa smart kuliko polisi wote mkoni dodoma utakaa mdomo wazi.
Raia zaidi ya 68% ni smart kuliko polisi njaa ambao matumizi ya nguvu ni 90%, akili 10%
Polisi smart ni less than 30% walio baki ni Mungu tu anatulinda
Fesibuku siendi.Fesibuku
ACP hana kinga ya kushtakiwa hivyo anashtakika vzuri sana.Fesibuku siendi.
Nina swali hapa.
Hivi kifungu cha criminal law kinasemaje, kuhusu polisi mwenye cheo kikubwa cha ACP kama alivyo Fatuma Kigondo kutuma watu waende kumfira binti?