Nyamwi255
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 4,848
- 12,776
Sana👊👊No bad man au sio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana👊👊No bad man au sio
Nakukubali pisi yanguSana👊👊
😂😂🥰Nakukubali pisi yangu
Afadhali aiseeLeo, 20.08.2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imesajili (Admission No. 000058901) malalamiko (complaint) ya Wakili Kisabo dhidi ya Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) FATUMA KIGONDO ambaye ndiye “afande” aliyetuma genge lake la uhalifu kumbaka na kumlawiti JM.
Pia soma: 'Afande' aliyeagiza binti wa Yombo abakwe pamoja na mtuhumiwa wa 5 wako wapi? Kwanini wanamlinda kiasi hiki?
Pia soma
KabisaHuyo aliefungua kesi ana nafasi yake Mbinguni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Da Fatu anaonekana mswazii haswaa, yaan made in kwa Rulengee.
Wee huogopiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naombeni namba ya simu ya mume wake nikamfariji.
Huyo wa shati LA draft, ndo alisema yeye zamu yake ni MAVII, yaani JOKER.
Mheshimiwa IGP,
Watanzania wengi wanaupongeza uongozi wa jeshi la polisi kwa hatua ya kuwafikisha mahakamani baadhi ya vijana waliofanya shambulio la kiubakaji katika matundu matatu makubwa yaliyo katika mwili wa mwanamke, katika sehemu za mdomoni, ukeni na matakoni.
Lakini kuna dosari mbili ambazo zinaonekana kujitokeza na zinaweza kulifanya Jeshi la polisi kutiliwa mashaka katika namna yake ya kushughulikia suala hili.
Kwanza, tayari uchunguzi wa kipolisi umethibitisha katika upeo usio na shaka juu ya wasifu wa mtu aliyewatuma vijana hawa kufanya uhalifu huu.
Ushahidi usiokanushika uko hivi:
Na pili, kuna watuhumiwa wawili hawakufikishwa mahakamanui kwa sababu hawajakamatwa hadi leo. Katika taifa hili ambako kila ekari moja ya mraba kuna "government security officer" (GSO) haiyumukiniki kwamba Jeshi la Polisi limeshindwa kazi yake ya “kusaka na kukamata” watuhumiwa hawa.
- Namba ya simu iliyokuwa inatumiwa na binti aliyebakwa imepokelewa na jeshi la pilisi;
- Binti aliyebakwa kataja namba ya simu ya mwanaume aliyekuwa anatongozana naye tangu mwanzo;
- Kitengo cha makosa ya mtandao kinao weledi mkubwa wa kukusanya ushahidi wa kielektroniki kwa kutimia namba hizi za simu;
- Mwanaume aliyekuwa anamtongoza huyu binti amemtaja mke wake kwa jina; na
- Vijana waliofanya ubakaji wamemtaja bosi wao kwa jina, yaani mtu aliyewatuma.
- Lakini bado "afande" huyo hajaunganishwa kwenye kesi.
Badala yake imejengeka hisia kama ile iliyoanzia kwenye kesi ya Jamhuri dhidi ya Zombe na Wenzake 12, yaani, Kesi Na. No. 26 of 2006.
Katika kesi hii Zombe alichomoka kwa sababu mhusika mkuu aliyepokea na kutekeleza maagizo ya mauaji kutoka kwa Zombe, yaani CPL Saad, alilazimishwa kuwa “mgeni wa Mungu” kabla ya kufika mahakamani kutoa Ushahidi.
Hofu ya umma ni kwamba hawa vijana ambao hawajaunganishwa kwenye kesi hii ya binti wa Yombo wanaweza kufanyiwa “kitu mbaya” kama ilivyokuwa kwa yule CPL Saad.
Ukiweza kurekebisha dosari hizi mbili, itakuwa ni hatua kubwa katika kujenga Imani ya jamii kuhusu umakini na weledi wa Jeshi la Polisi.
Nimalizie kwa kufupisha maudhui ya kifungu cha 22 cha Sheria ya “Mkusanyiko wa Kanuni za Adhabu,”hapa chini, ili wasomaji wasio na muda wa kupekua aya zote za “Kanuni ya Adhabu” wasikwame. Kifungu hiki kinasema mambo manne:
Ni kwa sababu hii, Watanzania wanaomba sana mtu aliyeshawishi wale vijana kufanya ubakaji wa mdomoni, ukeni na matakoni dhidi ya yule binti wa Yombo, Dar, kuunganishwa kwenye kesi hii.
- Mosi, mashtaka dhidi ya mtu aliyeshawishi wenzake kutenda kosa yanaweza kuendelea bila mtenda kosa halisi kushtakiwa kwanza;
- Pili, mashtaka dhidi ya mtenda kosa halisi yanaweza kuendelea bila mtu aliyeshawishi wenzake kutenda kosa hilo kushtakiwa kwanza;
- Tatu, mashtaka dhidi ya mtenda kosa halisi na dhidi ya mtu aliyeshawishi wenzake kutenda kosa yanaweza kuendelea kwa wakati mmoja kupitia kesi moja.
- Na nne, ushahidi wa kesi unanoga pale mtenda kosa na mtu aliyeshawishi kosa litendeke wanapounganishwa kwenye kesi moja kwa wakati mmoja.
Picha za baadhi ya watuhumiwa katika sakata hili ni hizi hapa:
Watuhumiwa wanne wa ulawiti wakiwa mahakamani:
Assistant Superintendent of Police (ASP), Fatuma Kigondo, Afande anayetuhumiwa kuwatuma walawiti
Nakutakia utendaji kazi mwema,
Dr. Mama Amon,
Sumbawanga Town,
P.O.Box P/Bag,
Sumbawanga,
Tanzania.
Atakataa kwamba hawajui na hajawatuma!Leo, 20.08.2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imesajili (Admission No. 000058901) malalamiko (complaint) ya Wakili Kisabo dhidi ya Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) FATUMA KIGONDO ambaye ndiye “afande” aliyetuma genge lake la uhalifu kumbaka na kumlawiti JM.
Pia soma: 'Afande' aliyeagiza binti wa Yombo abakwe pamoja na mtuhumiwa wa 5 wako wapi? Kwanini wanamlinda kiasi hiki?
Pia soma
Wakapimwe ukimwi, mpox, kaswende, kisonono......Huyo wa shati LA draft, ndo alisema yeye zamu yake ni MAVII, yaani JOKER.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muongezee na ishu ya wale wafanyabiashara wa mahenge, Tibaigana kukamata kontena lenye mapanga ya CUF😁😄 ishu ya RPC Msangi kuondolewa mwanza nkHakuna polisi amewahi kuwa smart hapa tanzania. Utkuwa smsrt unaposhughulika na la mwingine tu.
Hawahawa polisi wanakamatishwa na raia kwa rushwa za buku 3?
Kama umesikia maelezo ya huyo boss wao RPC ambae ndio anadhaniwa kuwa smart kuliko polisi wote mkoni dodoma utakaa mdomo wazi.
Raia zaidi ya 68% ni smart kuliko polisi njaa ambao matumizi ya nguvu ni 90%, akili 10%
Polisi smart ni less than 30% walio baki ni Mungu tu anatulinda
Alikuuzia wewe mwanaume unayejinunulia tuu!!??sema mwanamke aliyekuwa anajiuza, sio binti wa yombo.
Mtu binafsi kisheria anaweza kufungua shauri la jinai lakini in practice DPP huingilia...sasa mkuu mbona hiyo document inaonyesha mshtaki sio jamhuri bali ni mtu binafsi huyo Paul kwani sheria zetu zinaruhusu mtu binafsi kufungua mashtaka ya jinai? hiyo si kazi ya DPP kupitia polisi kwa ajili ya upelelezi au.!
Wa nchi gani?Kwani hawa watu hawako smart kiasi cha kufanya mambo kizembe kizembe namna hii ilhali mara zote askari huwa wako smart zaidi kuliko raia?
Yaani sisi raia tunataka kujifanya ndiyo smart kuliko watu ambao ni professional?
Hili tukio limefanywa makusudi. Askari ni watu smart mno hawawezi kufanya kitu kizembe kizembe namna hii.
Mbali na hayo, kwa ujumla wao, fact ni kwamba askari huwa ni waadilifu kuliko raia