Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na litacheua😁😁😆😆Jimama sio! Linatakiwa lipigwe spana licheue.
Kwani hawa watu hawako smart kiasi cha kufanya mambo kizembe kizembe namna hii ilhali mara zote askari huwa wako smart zaidi kuliko raia?Leo, 20.08.2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imesajili (Admission No. 000058901) malalamiko (complaint) ya Wakili Kisabo dhidi ya Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) FATUMA KIGONDO ambaye ndiye “afande” aliyetuma genge lake la uhalifu kumbaka na kumlawiti JM.
Pia soma: 'Afande' aliyeagiza binti wa Yombo abakwe pamoja na mtuhumiwa wa 5 wako wapi? Kwanini wanamlinda kiasi hiki?
Pia soma
Ameshawakana, but if kuna evidence zimebaki including mawasiliani au miamala ya pesa kwenda kwa hao jamaa amekwishaSijui sheria zipoje lakini ,,, kama mimi ndiyo huyo afande nawakana wausika ,, nasema hivi
" Mimi hao watu siwajui na wala sihusiki na walichofanya kama kuna ushahidi wowote ambao wanao juu ya wao kunihusisha mimi na walichofanya basi waulete na mimi nipo tayari kushirikiana na serikali juu ya chochote itakacho itaji ili kukomesha vitendo vya ubakaji kama vilivyofanywa na watuhumiwa asante "
Askari wa Tanzania ni smart ??Kwani hawa watu hawako smart kiasi cha kufanya mambo kizembe kizembe namna hii ilhali mara zote askari huwa wako smart zaidi kuliko raia?
Yaani sisi raia tunataka kujifanya ndiyo smart kuliko watu ambao ni professional?
Hili tukio limefanywa makusudi. Askari ni watu smart mno hawawezi kufanya kitu kizembe kizembe namna hii.
Mbali na hayo, kwa ujumla wao, fact ni kwamba askari huwa ni waadilifu kuliko raia
Mrakibu msaidizi wa polisi mbona cheo cha kawaida inakuwaje awe untouchable?I see, naona wanamuogopa sana.
Basi sawa. Acha tu aliowatuma wawajibike, inaonekana yeye ni untouchable.
Na litacheua😁😁😆😆
Hapo kabla, ulishawahi kukuta wamefanya tukio la kizembe namna hii? Je, ungekuwa wewe raia, ungefweza kuanya hivi? Na kama wewe raia usingeweza, je unadhani askari anaweza kufanya hivi? Kwa nini askari afanye hivi? Changanya na za kwako; be smart!Askari wa Tanzania ni smart ??
Hebu elezea huo usmart uko katika nyanja ipi.
Pia huo uadilifu ni upi , pengine leo nijifunze maana tofauti ya uadilifu kutokana na kauli yako kuwa askari wa Tanzania ni waadilifu kuliko raia.
Mbona mleta mada kamtaja pamoja na cheo chake(ASP)?I see, naona wanamuogopa sana.
Basi sawa. Acha tu aliowatuma wawajibike, inaonekana yeye ni untouchable.
Muulize mama Samia kwanzaWewe kamanda kwenye CHADEMA mna msimamo gani kuhusu hii kesi?
Unadhani kukana shitaka pekee ndiyo kutakuepusha na mkono wa sheria?Sijui sheria zipoje lakini ,,, kama mimi ndiyo huyo afande nawakana wausika ,, nasema hivi
" Mimi hao watu siwajui na wala sihusiki na walichofanya kama kuna ushahidi wowote ambao wanao juu ya wao kunihusisha mimi na walichofanya basi waulete na mimi nipo tayari kushirikiana na serikali juu ya chochote itakacho itaji ili kukomesha vitendo vya ubakaji kama vilivyofanywa na watuhumiwa asante "
Yale masanduku ya kura kuibiwa wakati wa uchaguzi huwa yanakwenda wapi?Hapo kabla, ulishawahi kukuta wamefanya tukio la kizembe namna hii?
Hili ni swali ?Je, ungekuwa wewe raia, ungefweza kuanya hivi?
Hujajibu swali.Na kama wewe raia usingeweza, je unadhani askari anaweza kufanya hivi? Kwa nini askari afanye hivi?
Hili ndio hitimisho la askari kuwa ni smart kuliko raia?Changanya na za kwako; be smart!
Umesoma hiyo Moving section ambayo ameitumia??sasa mkuu mbona hiyo document inaonyesha mshtaki sio jamhuri bali ni mtu binafsi huyo Paul kwani sheria zetu zinaruhusu mtu binafsi kufungua mashtaka ya jinai? hiyo si kazi ya DPP kupitia polisi kwa ajili ya upelelezi au.!
Ww hujui sheria kaa pembeniInaruhusiwa nini?
Jinai unashtakiwa na Jamhuri, sio mtu binafsi.
Ukisikia jina Fatma....basi matatizoLeo, 20.08.2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imesajili (Admission No. 000058901) malalamiko (complaint) ya Wakili Kisabo dhidi ya Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) FATUMA KIGONDO ambaye ndiye “afande” aliyetuma genge lake la uhalifu kumbaka na kumlawiti JM.
Pia soma: 'Afande' aliyeagiza binti wa Yombo abakwe pamoja na mtuhumiwa wa 5 wako wapi? Kwanini wanamlinda kiasi hiki?
Pia soma
Umeona hapo tu Mali yanguEti kumf1r@🤣🤣
Huyu wakili kanichekesha🤣Umeona hapo tu Mali yangu
Hivi kisheria imekaaje ikiwa shtaka linafungulia kwa mtu ambaye hakuwepo kwenye tukio na wala hakutajwa jina??Kwani Kesi hiyo imefunguliwa na DPP hadi afikie hatua ya yeye kusema kwamba hana Nia ya kuendelea na Kesi?
Mtu aliyefungua Kesi Mahakamani ndiye mwenye mamlaka ya kusema kwamba Hana Nia ya kuendelea na Kesi.
Je, unajua sababu ya kufanya Upelelezi au Uchunguzi wa kijinai??Hivi kisheria imekaaje ikiwa shtaka linafungulia kwa mtu ambaye hakuwepo kwenye tukio na wala hakutajwa jina??
Waliofanya hilotukio bado hawajakubali kama walitenda kosa husika je kumtaja huyo ASP hawaoni kua ni kupoteza mda ??
Naomba hili swala lisepelekwe kimhemko tutapoteza.