Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Kaeni mkao wa kura.. kwa vile hawawezi kumfikia BM moja kwa moja.. the closest thing is to get the closest confidants.. mnakumbuka Balali alivyoondoka nchini..? Mjiulize Mgonja yuko wapi? Sitashangaa na yeye akawa ameenda US kwa matibabu na hali yake ikawa mbaya na kufia Marekani...
I think they need to add more pages kwenye kitabu chao..

Mwanakijiji,
Hiyo kali, unaiba pesa za maskini, kisha unakimbilia USA, baada ya muda tunatangaziwa kifo. Unapotelea kwenye visiwa ukifaidi matunda ya ufisadi na kuwacheka akina Jeetu wakisota rumande. Kweli Tanganyika ina wenyewe.
Mgonja na yeye kapewa sumu akiwa wapi?

Halafu mke wa Mgonja anaishi California toka kitambo sasa.
huyu mwanamke ni sugar mami maarufu..hapo vegas ....anatumbuwa na wanaume wa ki west africa na kikenya.......sidhani hata mumewe akipata matatizo atakuja....
..sasa hapa tumshukuru IGP Mwema,
Dr.Hosea,
au AG Mwanyika?
Unamshukuru polisi kwa kufukuza mwizi ?
Unamshukuru Mkuu wa Tume ya kupambana na rushwa kwa kupambana na rushwa ?
Unamshukuru Mwanasheria Mkuu kwa kufuata sheria ?
Mimi ni kuli. Kwa kila mzigo ninaopakia na kupakua kwenye ya malori ya kampuni bosi anadunduliza hela sehemu kila mwisho wa siku. Zikifika wiki mbili karani wa kampuni ananipa hundi. Sijawahi kuambiwa ahsante. Tena mwenye mizigo hii, mmiliki wa kampuni, sijawahi hata kuteta nae.
Nikadai shukurani ?
Waache watuzuge, ila wakumbuke kuwa hawawezi kutuzuga milele. Huu mchezo wao wa kuigiza ipo siku utafika mwisho. Hata Egoli iliisha. Wajue siku moja tutashika hatamu (patamu) na kuwashughulikia bila huruma! Siku hiyo haiko mbali. Sioni ni jinsi gani JK anaweza kuokoa jahazi lake lisizame kabla ya 2010. Hawa jamaa wa EPA ndo wanarudi nyumbani baada ya kutuzuga kuwa walikuwa Ukonga kumbe walikuwa kwenye 5 Star Hotels wanatesa. Siku si nyingi watauona moto wenyewe badala ya kucheza na miale!
Jamani ni vyema ukiandika kitu hapa uwe na ushahidi nacho,si kweli kama akina jeetu walikuwa wanalala kwenye 5 star! waulize askari magereza wa keko na segerea kama kuna mtuhumiwa analala nje ya huko.labda ungezungumzia preferential treatment wanayoipata basi na si zaidi ya hapo!
Preferential treatment bcoz they are "VIP thieves"!Sic!