bantu.garage
JF-Expert Member
- Oct 13, 2015
- 1,436
- 503
Mtu yoyote mwenye akili timamu hawezi kuwanyanyasa hawa wazee huko gerezani au huko sinza.Amini usiamini huko gerezani wanapata heshima kubwa saana toka kwa wafungwa na hata askari jela.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wasioelewa wanaona hii adhabu ni ndogo sana wamesahau FEDHEHA wanayopata hawa jamaa, Adhabu ya aina yakeIla kuna FEDHEHA kiasi chake,mtu uliye zoea ofisi yenye viyoyozi na kukaa kwenye executive chair kiasi cha kuwa na jeuri ya kuwakebehi Watanzania kuwa ikibidi wata kula nyasi leo hii unashika fagio na rake una wafagilia hospitali yao Watanzania wale wale huku waki kutizama tuli ambiwa lakini, ajidhanie ame simama aangalie asi anguke,MUNGU HUYU,MUNGU HUYU basi tu.
FactKwanini wasifanye kwa wafungwa wote nchini? Wawe wanafanya usafi sehemu zote chafu?
Igizo litaisha mwezi Novemba na wote wana miaka 75 Gray Mgonja alishinda kesi hakupatikana na hatia.hili igizo linaisha mwezi gani?
mkuu wewe ni mchambuzi mahiri.Hata wao wanatamani kudeki kuliko kukaa gerezani, kwa hiyo wewe utakuwa unatamani kitu ambacho mwenzako amekichagua
Mwisho wa siku kila upande utafaidika na kitendo cha wao kupiga deki, wewe utafaidi kuona na wao watafaidi kuwa nje ya jengo la gereza. Wao wana chenji ya yale mahela ila wewe huna, lakini walau unafaidi kuwaona wakipiga deki. Jioni kila mtu anarudi kwao, mmoja ana hela za kufaidi na familia yake na mwingine ana simulizi za kufaidi na familia yake
Kwa wasioelewa wanaona hii adhabu ni ndogo sana wamesahau FEDHEHA wanayopata hawa jamaa, Adhabu ya aina yake
Enzi za nyerere watu wa namna hii ilikua viboko 24....12 wakati wa kuingia, 12 wakati wa kutoka korokoroni ili wakawaoneshe wakezao.
mkuu, inawezekana serilkali ya 4 iliwafunga kwa makosa sasa wametafutiwa namna ya kuwapunguzia makali ya adhabuUsidhani watanzania wote ni wajinga na wapumbavu,endeleeni na maigizo yenu ya kutumbuana majipu na kuunda mahakama ya mafisadi.Kama hukumu za mahakama za mafisadi zitakuwa za aina hii,ni bora fedha zitakazotumika kuwalipa majaji wa mahakama hizo zipelekwe kwa L46b7 wanaokufa njaa kwa kushindia viwavijeshi ilihali walikesha jf 24hrs wakitoa porojo za mahakama ya mafisadi.
Daniel Yona ni mwanahisa na mmiliki mwenza wa Kampuni ya ANBEN iliyofunguliwa na Mkapa kwa kutumia anuani za Ikulu.B.P.Mramba alikuwa waziri wa fedha ilyehudumu kipindi cha EPA fedha iliyopigwa ili kuiingiza CCM ya mkwere madarakani.
Wakata viuno wa Lumumba njooni sasa hadharani na "pambio zenu za sifa" eti ccm ya Magufuli ni kiboko cha mafisadi.Mtu apige mabilioni ya shilingi halafu umfunge miezi sits kisha utuambie unadhibiti ufisadi,upumbavu zenu,maigizo haya kayafanyieni ndani ya Lumumba siyo mbele ya wadanganyika.
Daaah! Natamani niwaone wakiinama na kudeki, hivi hawaruhusiwi kuajiri watu wa kuwasaidia kufanya usafi?
Mimi nikifika hapo nachafua kila waliposafisha.....ili wasafishe kutwa nzima.....
Kwa hiyo taifa hili limepata hasara kwa akili ya hawa watu wawili tu
mwenye data za wafungwa waliowahi kuchapwa viboko 24 enzi za utawala wa nyerere atuwekee hapa
Sheria ni msumeno zikifuatwa kama zilivyoweka hakuna suala la kuwa kiongozi mwandamizi.Najiuliza tu kwa nini sinza hospitali na isiwe pale posta kuu ili iwe fundisho.😉Hawa ni viongozi waliokuwa waandamizi katika taasisi na wizara nyeti za umma!
Is this right treat!
![]()