Elections 2010 Mramba yuko KCMC Hospital anatibiwa BP

Elections 2010 Mramba yuko KCMC Hospital anatibiwa BP

Digaller

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2009
Posts
798
Reaction score
541
Kuna tetesi kuwa yule fisadi wa kutisha mwenye kesi ya matumizi ya ofisi ya uma vibaya yuko hospitali anatibiwa presha baada ya kuwekeza mabilioni ya kutosha kwenye kampeni na kuambulia patupu. Kwa hesabu za haraka haraka ametumia kama bilion 2 kuusaka uheshimiwa. BYE BYE MRAMBA:israel:
 
mwambie tukutane kwa pilato maana this time atakuwa hana msaada maana si mbunge
 
Hata kama watanzania tunakula nyasi hawezi tena kuwa mbunge wa Rombo!
 
ningekuwa moshi ningempelekea nyasi hapo kcmc hospital aanze kula mapemaaa!!! kwani sisi tumekula kwa muda mrefu sana, tunamkaribisha,
halafu ataona tutakavyomfanya.
 
Mzee wa Nyasiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
GET WELL SOON
 
da hata kama mi ccm mramba simkubali na akafie mbali sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
hongora sana wana-ROMBO kwa kumwadabisha huyu fisadi.
Lakini inasikitisha sana wana-BARIADI, wana-IGUNGA na wana-MONDULI wamewapa ridhaa mafisadi wao waendelee kupeta kama wabunge wao. Very sad in deed!
 
Pamoja na ufisadi wake tumtakie afya njema. Ndiyo atainjoi zaidi kuukosa uheshimiwa.
 
Acha matumizi mabaya ya pesa za serikali, Huyu mzee ndiye aliyeua RTC zote nchini, ana tamaa na hatosheki kabisa, nina ushahidi wa 100%
 
Msimsingizie mambo sijui ya RTC, huyu wizi kaanza juzi juzi tu huyo ni mmoja wa watu ambao Nyerere alishawanywesha maji ya bendera.Sijui nani alimfundiha wizi ezeeni ndo shida zote hizi zimemkumba
 
Kuna tetesi kuwa yule fisadi wa kutisha mwenye kesi ya matumizi ya ofisi ya uma vibaya yuko hospitali anatibiwa presha baada ya kuwekeza mabilioni ya kutosha kwenye kampeni na kuambulia patupu. Kwa hesabu za haraka haraka ametumia kama bilion 2 kuusaka uheshimiwa. BYE BYE MRAMBA:israel:

afie zake huko.
 
Inaonekana kila mtu yupo hoi hospitali
 
Back
Top Bottom