Mratibu Elimu kata ya Kabarimu wilayani Bunda anadhalilisha Walimu

Mratibu Elimu kata ya Kabarimu wilayani Bunda anadhalilisha Walimu

Wewe mwalimu umejawa na ushamba, wivu na kujiona Sana. Huyo unaesema kafeli si ajabu kesho ukasikia kalamba uteuzi. Kwahiyo nyie kuongea kiingereza ndio usomi? Acheni ushamba na majungu.
 
Hawa watu ni kuwapa fucks , mimi mratibu wangu alileta mambo kama hayo,ooh dogo tulia,sisi ni wakubwa zako,hata sahau, nilimwambia mbele za wakubwa zake dogo mwenyewe na hauna maadili ya kazi wewe,huwezi niita dogo kama huwa una nilisha,kawaite dogo watu wa nyumbani kwako.Hadi leo hii ana niiheshimu sana.

Tatizo letu walimu wengi ni waoga,lakini mimi naamini mpumbavu hujibiwa kipumbavu na mwerevu hujibiwa kiuelevu,kazi kwako mwalimu,mimi sina cha kupoteza
Ni waoga alafu wanafiki,unashangaa wamekubaliana kitu kwenye kikao,kikao ikiisha wanaanza kulalala as if hawakuwepo ni minafiki balaa

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Ila mwalimu hata awe profesa ule uoga hauwatoki sijui mkoje yani
Mwalimu mwalimu.
Nina jamaa yangu ni mwalimu mwenye...mkaguzi elimu kanda.

Jamaa ni muoga sijawahi kuona.

Aliwahi kugonga bodaboda gari ikaponea kuwashwa moto akanipigia simu nikawahi kwa tukio😂😂😂

Nilimkutaa anataka kufa kwa woga.
Nilipofanikiwa kumnusuru alifurahi hadi machozi.

Kimbembe alipopelekwa polisi mbona nilichoka.

Anasmkia kila polisi hadi vijana wadogo wa 25 na yeye yupo 40s hivi.

Kila hatua ananiambia G naomba umalize kila kitu jifanye gari ni yako...yeye anatetemeka hadi meno yanasagana😂😂😂😂😂

Waalimu waoga sana
 
anaweza kuwa sio mzuri kwenye presentation lkn akawa mzuri kwenye plan& management, hushangai ma genius wengi ni wabovu kwenye presentation Ila wazuri kwenye ku draft mipango na kusimamia
𝐡𝐢𝐯𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐧𝐧?
 
Mwalimu mwalimu.
Nina jamaa yangu ni mwalimu mwenye...mkaguzi elimu kanda.

Jamaa ni muoga sijawahi kuona.

Aliwahi kugonga bodaboda gari ikaponea kuwashwa moto akanipigia simu nikawahi kwa tukio😂😂😂

Nilimkutaa anataka kufa kwa woga.
Nilipofanikiwa kumnusuru alifurahi hadi machozi.

Kimbembe alipopelekwa polisi mbona nilichoka.

Anasmkia kila polisi hadi vijana wadogo wa 25 na yeye yupo 40s hivi.

Kila hatua ananiambia G naomba umalize kila kitu jifanye gari ni yako...yeye anatetemeka hadi meno yanasagana😂😂😂😂😂

Waalimu waoga sana
Yani ni wajinga sana hao watu hawajiamini na ndo wanapopigiwa hapo
 
Huyu mama Kwa jina maarufu la Tabu ni mke wa askari mmoja pale kituo cha polisi Bunda. Mazingira ya vipi alipewa hiki cheo cha uratibu kata kila mtu huwa anajiuliza,anakosa majibu.

Kiukweli kazi ya kusimamia kundi nyeti kama Walimu inahitajika mtu mwenye busara sana tofauti na makando kando mengine.

Huyu mama kwenye misafara ya mitihani Huwa ni miongoni mwa viongozi wa misafara ya ugawaji mitihani.

Amekuwa akiwatusi walimu na kuwakejeli huku akiwatishia kwamba atawaharibia kazi kwa mwajiri wao.

Pili uwezo wake kwenye presentation ni mdogo sana,hata kujibu hoja za kawaida za walimu kwenye discussion huwa hawezi zaidi ya kuishia kupanic.

Walimu wa Sekondari wamezuiwa kuongea kiswahili kwenye vikao vya staff ila kwa huyu MEK kutokana na kutokujua kiingereza hata cha kuombea maji amekuwa akipiga mijadala yake myepesi Kwa kiswahili mwanzo mwisho.

Aliyewahi kuwa REO mkoa wa Mara Mr.Sembeye aliwahi kuhoji hadharani vigezo vipi vilitumika kumpa nafasi Ile huyu mama

Tunakuomba Afisa elimu (idara ya elimu sekondari)uondoe hiki kirusi kwenye halmashauri au mpangie majukumu mengine.

She is a specialist of failure...
Hamna taratibu na kanuni za huko kwenu kufikisha malalamiko yenu kwenye ngazi zenu husika?
 
Kwa hiyo walimu wa sekondari kwenye vikao vyenu mnapasua mayai tu, mbona huku kitaa watoto wanaongea kizaramu tu, au ung'eng'e ni maalumu tu kwa ajili ya vikao vya staff baada ya hapo tunaendela na kingendereko.​
Huo nao ndio utopolo mwingine kikao Cha walimu waendeshe kingereza ili wagundue Nini?kwanza nna uhakika hicho kikao kitakosa wachangiaji usifanye mchezo na ngeli halafu uwe na stress utaishia kusema Yes tu
 
Waliosema kuajiriwa raha,waje hapa watetee waajiriwa wenzao hapa, manyanyaso Kama hayo hata hiyo motivation ya kazi unaipata wapi?
 
Back
Top Bottom