Mratibu Elimu kata ya Kabarimu wilayani Bunda anadhalilisha Walimu

Wewe mwalimu umejawa na ushamba, wivu na kujiona Sana. Huyo unaesema kafeli si ajabu kesho ukasikia kalamba uteuzi. Kwahiyo nyie kuongea kiingereza ndio usomi? Acheni ushamba na majungu.
 
Ni waoga alafu wanafiki,unashangaa wamekubaliana kitu kwenye kikao,kikao ikiisha wanaanza kulalala as if hawakuwepo ni minafiki balaa

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Ila mwalimu hata awe profesa ule uoga hauwatoki sijui mkoje yani
Mwalimu mwalimu.
Nina jamaa yangu ni mwalimu mwenye...mkaguzi elimu kanda.

Jamaa ni muoga sijawahi kuona.

Aliwahi kugonga bodaboda gari ikaponea kuwashwa moto akanipigia simu nikawahi kwa tukioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nilimkutaa anataka kufa kwa woga.
Nilipofanikiwa kumnusuru alifurahi hadi machozi.

Kimbembe alipopelekwa polisi mbona nilichoka.

Anasmkia kila polisi hadi vijana wadogo wa 25 na yeye yupo 40s hivi.

Kila hatua ananiambia G naomba umalize kila kitu jifanye gari ni yako...yeye anatetemeka hadi meno yanasaganaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Waalimu waoga sana
 
anaweza kuwa sio mzuri kwenye presentation lkn akawa mzuri kwenye plan& management, hushangai ma genius wengi ni wabovu kwenye presentation Ila wazuri kwenye ku draft mipango na kusimamia
𝐑𝐒𝐯𝐒 𝐀𝐰𝐚 𝐧𝐧?
 
Yani ni wajinga sana hao watu hawajiamini na ndo wanapopigiwa hapo
 
Hamna taratibu na kanuni za huko kwenu kufikisha malalamiko yenu kwenye ngazi zenu husika?
 
Kwa hiyo walimu wa sekondari kwenye vikao vyenu mnapasua mayai tu, mbona huku kitaa watoto wanaongea kizaramu tu, au ung'eng'e ni maalumu tu kwa ajili ya vikao vya staff baada ya hapo tunaendela na kingendereko.​
Huo nao ndio utopolo mwingine kikao Cha walimu waendeshe kingereza ili wagundue Nini?kwanza nna uhakika hicho kikao kitakosa wachangiaji usifanye mchezo na ngeli halafu uwe na stress utaishia kusema Yes tu
 
Waliosema kuajiriwa raha,waje hapa watetee waajiriwa wenzao hapa, manyanyaso Kama hayo hata hiyo motivation ya kazi unaipata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…