Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Duh.. mke kabisa? Mke yani mke uje uue mtu..Labda alipora mke wa mtu ikawa wanamuonya hakomi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh.. mke kabisa? Mke yani mke uje uue mtu..Labda alipora mke wa mtu ikawa wanamuonya hakomi
Mnachukua wake za watu na kudhulum pesa za watu wacha wawakomeshe.Punguani, Mbowe na genge lake wana genge la wahuni wa hatari.. Serikali ichukue hatua kali kwenye hili genge. Adui wa ndani ni hatari kuliko wa nje.
Duh!Mganga kawambia lazima mmoja wao asepe😅😅
Poleni wafiwa. Ila kuwa mratibu hakukuzuii na kifo, hususani vifo vitokanavyo na magonjwa. Tusiongeze sintofahamu kwa mambo yasiyo na hakika.Jicho linaelekea katika jimbo la Sengerema lililopo wilayani Sengerema mkoani Mwanza jimbo ambalo kwa miaka kumi na tano liliongozwa na Ngereja kama mbunge Ila mwaka huu baada ya kura za maoni kuisha Chama cha Mapinduzi kilimpitisha mgombea Hamis Tabasam kuwa mgombea ubunge.
Katibu wa CCM kata ya Ibisabageni, Deogratias Medard na pia ni mratibu wa shughuli za mgombea ubunge jimbo la Sengerema amefariki dunia juzi J'tatu majira ya mchana alipokuwa njiani kuelekea kwenye mkutano wa kampeni kijiji cha Kagunga.
Kisa hiki kilitokea wakati marehemu Deo alipokuwa ameketi siti ya katikati kwenye gari la mgombea ubunge na akiwa na mgombea ubunge, mhasibu na wengine 2 pamoja na dereva.
Kabla ya kuanza safari hiyo Deogratias alitoka nyumbani na kufika kwenye ofisi za mgombea ubunge maeneo ya Sengerema Mjini karibu kabisa na stand ya mabasi kilipo kituo cha kujazia mafuta majira ya saa mbili asubuhi akiratibu shughuli za mikutano ya siku hiyo mida kati ya saa tatu mpaka saa nne asubuhi alikula chakula makande na chai iliyotoka kwenye mgahawa ulioko nyuma ya ofisi ya mgombea ubunge kwa mama maarufu kwa upikaji wa makande hayo.
Baada ya kumaliza kula walianza safari ya kuelekea kijiji cha kagungu na walipokaribia kufika kijiji cha tunyenye ndipo Deo alipoanza kulalamika tumbo linamuuma; gari likasimama na akaanza kutapika matapishi yenye harufu kali. Ndipo akakimbizwa kituo cha afya Tunyenye na kuwekewa drip mbili kwa wakati mmoja ila hali ikazidi kuwa mbaya, gari la mgombea liligeuza na kurudi mjini Sengerema na Deogratias Medard akawa amefariki dunia njiani
Katibu mzima anakula makande kwa mama Ntilie wakati Polepole alisema wanatembea na 1Hz?
Siasa za kuuana sio siasa.. pole sana kwa familia ya mratibu.
Wachawi hawawezi kuishi pamojaWao kwa wao wanapata mashambulizi ya kuuana inakuwaje hii..?
Inasemekana makande yaliyolala ni hatari kuyala endapo hsyakuhifadhiwa vizuri hasa wakati huu wa joto huwa yanatengeneza bakiteria.Jicho linaelekea katika jimbo la Sengerema lililopo wilayani Sengerema mkoani Mwanza jimbo ambalo kwa miaka kumi na tano liliongozwa na Ngereja kama mbunge Ila mwaka huu baada ya kura za maoni kuisha Chama cha Mapinduzi kilimpitisha mgombea Hamis Tabasam kuwa mgombea ubunge.
Katibu wa CCM kata ya Ibisabageni, Deogratias Medard na pia ni mratibu wa shughuli za mgombea ubunge jimbo la Sengerema amefariki dunia juzi J'tatu majira ya mchana alipokuwa njiani kuelekea kwenye mkutano wa kampeni kijiji cha Kagunga.
Kisa hiki kilitokea wakati marehemu Deo alipokuwa ameketi siti ya katikati kwenye gari la mgombea ubunge na akiwa na mgombea ubunge, mhasibu na wengine 2 pamoja na dereva.
Kabla ya kuanza safari hiyo Deogratias alitoka nyumbani na kufika kwenye ofisi za mgombea ubunge maeneo ya Sengerema Mjini karibu kabisa na stand ya mabasi kilipo kituo cha kujazia mafuta majira ya saa mbili asubuhi akiratibu shughuli za mikutano ya siku hiyo mida kati ya saa tatu mpaka saa nne asubuhi alikula chakula makande na chai iliyotoka kwenye mgahawa ulioko nyuma ya ofisi ya mgombea ubunge kwa mama maarufu kwa upikaji wa makande hayo.
Baada ya kumaliza kula walianza safari ya kuelekea kijiji cha kagungu na walipokaribia kufika kijiji cha tunyenye ndipo Deo alipoanza kulalamika tumbo linamuuma; gari likasimama na akaanza kutapika matapishi yenye harufu kali. Ndipo akakimbizwa kituo cha afya Tunyenye na kuwekewa drip mbili kwa wakati mmoja ila hali ikazidi kuwa mbaya, gari la mgombea liligeuza na kurudi mjini Sengerema na Deogratias Medard akawa amefariki dunia njiani.
View attachment 1609247
View attachment 1609269View attachment 1609270
Jnne mwili tuliutoa hospital ya misheni hapa Sengerema a na kuupeleka Bugando hospitali kwa ajili ya kuufanyia post-mortem na usiku wa jnne hiyo mwili tuliurudisha sengerema na jtano tukauzika.
Hadi sasa ni watu sita wameshahojiwa. Siku ya Jumatatu walikamatwa watu sita. Wawili wakaachiliwa Jumanne.
Mama mwenye Mgahawa na Wasaidizi wake, ni miongoni mwa watu waliokamatwa
=====
UPDATES:23 Oct 2020
======
Polisi Mwanza wanachunguza chanzo cha kifo cha Deogratias Meded(42) Mkazi wa Sengerema aliyefariki muda mfupi baada ya kudaiwa kula makande na chai akiwa kwenye Kampeni za Mgombea Ubunge Sengerema kwa Ticketi ya CCM, Hamis Tabasamu ambapo Marehemu alikuwa Meneja wa Kampeni wake.
Mwakyembe..hadi nywele ziliishaMambo ya kulishana sumu wanaCCM yalianza muda mrefu sana. Kuanzia kwa Kolimba, Membe mpaka Mangula. Ni sehemu ya utaratibu wa ndani kwa ndani ya CCM
Lazima watakuwa wa UfipaWao kwa wao wanapata mashambulizi ya kuuana inakuwaje hii..?