TANZIA Mratibu wa shughuli za mgombea ubunge jimbo la Sengerema amefariki dunia, adaiwa kulishwa Sumu

Punguani, Mbowe na genge lake wana genge la wahuni wa hatari.. Serikali ichukue hatua kali kwenye hili genge. Adui wa ndani ni hatari kuliko wa nje.
Mnachukua wake za watu na kudhulum pesa za watu wacha wawakomeshe.

Katibu mzima unakula makande saa kumi na mbili asubuhi. Ndio type zenu mnakuja huku mmevimbiwa
 
Poleni wafiwa. Ila kuwa mratibu hakukuzuii na kifo, hususani vifo vitokanavyo na magonjwa. Tusiongeze sintofahamu kwa mambo yasiyo na hakika.
 
Mambo ya kulishana sumu wanaCCM yalianza muda mrefu sana. Kuanzia kwa Kolimba, Membe mpaka Mangula. Ni sehemu ya utaratibu wa ndani kwa ndani ya CCM
 
Katibu mzima anakula makande kwa mama Ntilie wakati Polepole alisema wanatembea na 1Hz?

Siasa za kuuana sio siasa.. pole sana kwa familia ya mratibu.

Bashiru Ali na Polepole hawakupaswa kabisa kupewa uongozi ndani ya CCM. Wameanzisha Siasa za visasi na kuuana na kupandikiza chuki kwa kuhonga watu. Mfano Musiba kwa miaka mitano amekuwa akipandikiza Chuki kwenye Taifa hili na kuhamasisha siasa za kuua kama njia ya kuwamaliza wale wasiotakiwa.
Hii imesambaa na sasa matokeo yake ndio yanaonekana sasa.

CCM walidhani wakiwaangamiza wapinzani wao watakua salama.
Damu ya binadamu haiwezi kubadishwa na vitu. Kubadilisha damu ya mtu na kitu chochote ni ujambazi.
CCM kwa muda mrefu wamejificha na kukaa kimya damu za watu wasio na hatia zinapomwagwa .
Laana ya inayotoka kwa Mungu mwenyewe ziwaandame wote wanaopanga njama za kuua watu iwe kwa kuwanyima haki zao ili wakizidai wapigwa risasi au kwa kuua watu wasio na hatia. Wote hao ni waovu wanaosaka madaraka.
 
Inasemekana makande yaliyolala ni hatari kuyala endapo hsyakuhifadhiwa vizuri hasa wakati huu wa joto huwa yanatengeneza bakiteria.
Food poisoning haihusu mtu kuweka sumu kwenye chakula ila ni bakiteria hujizaa kwenye chakula na hata ukikipasha moto bado wanakuwemo.
 
Mambo ya kulishana sumu wanaCCM yalianza muda mrefu sana. Kuanzia kwa Kolimba, Membe mpaka Mangula. Ni sehemu ya utaratibu wa ndani kwa ndani ya CCM
Mwakyembe..hadi nywele ziliisha
 
Ni kivipi katibu anaagiza chakula nje ya ofisi? Siku zote anakuka hapo?

Kama ni mauaji kama huu uzi unavyodai inawezekana ukahusiana na uchaguzi? Why not targetting a candidate? As kwa siasa za Tz haushindi kwakua una mratibu kampeni mzuri so obviously kumtoa mratibu kampeni kwenye equation hakutasababisha mgombea asishinde.

Anyway nitashangaa kama kuna mtu alimtarget mratibu kampeni akidhani inampunguzia nguvu mgombea.

Hii iwe case study kwa higher officials wanaozurura mitaani au kusimama kwenye kundi la raia na kupokea vyakula au zawadi.
 
Amekula oficeni chakula kimeletwa kutoka kilikopikwa ni nyuma tu ya office yao
 
Kwa mujibu wa yule mtoto wa mjomba alisema juzi wata mdunda sindano ya sumu TL safari hii hawata tumia sumu nadhani wameanza kujaribia sumu kwao
 
Makande ndio chakula cha kampeni kwa wanaccm wengi , chama chao hakijawapa hela hata noja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…