TANZIA Mratibu wa zamani wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga afariki Dunia

Kama kuna moto huyu anaenda kuoga maana yeye na yule Makengeza Makoye walijiona ufahari sana kumiliki MAKU. Huyu kabla ya kifo katahabika sana mpaka akaomba msamaha kwa mkewe akahamia Kibaha kutoka Kimara. Kifupi alimtesa sana mkewe.
 
Watakwambia marehemu hasemwi vibaya ...wakati aliyatenda kwa Wazi na kwa ufahari
 
Aliwahi kusema kama mna hasira nae mtupeni
 
Watu wanapenda kutetea uovu na kwa sababu ndio maisha yao.

Nyeupe inabaki hivyo.
 
Washiriki wa miss Tanzania toka 1994 hadi 2019 kama sikosei hawawezi kumsahau mzee Lundenga.

Imagine nchi nzima watoto wa miaka 18 hadi 24 ndio Lundenga alikua akifanya nao kazi miaka yote hiyo😂.
Alifaidi sana aisee
 
Acha kuleta ujanja wa mbuzi kujambia mdomo.
 
Washiriki wa miss Tanzania toka 1994 hadi 2019 kama sikosei hawawezi kumsahau mzee Lundenga.

Imagine nchi nzima watoto wa miaka 18 hadi 24 ndio Lundenga alikua akifanya nao kazi miaka yote hiyo😂.
Hakuwa na msaidizi kuwianisha usawa wa 50/50 kwenye uongozi?
 
Anawala kwa kigezo kipi ? Yeye ndio jaji au wanakuwa hawana ada ya kuingilia mashindanoni ?

Na kama alikula wengi, na mshindi huwa ni mmoja tu, hao ambao ngono wamemlipa na hawakutangazwa washindi, hakuna miaka yote hiyo waliodai No Reforms No Mashindano ?? Yani alipeta tu kuwalala bure ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…