Ina wezekana MRDT ni Invald au kuna kosa ali commit during diagnosis.. Ila pia by using microscope huwa wana toa false +ve kutokana na jinsi ulivyo jieleza..!!nimeenda kupima malaria wakatumia kipimo kipya MRDT wakasema hakuna kitu lakn dalili zote zipo nimerudi kwa BS (microscope) ikaonekana ipo.
hivi vipimo havina uhakika au inakuwaje
nimeenda kupima malaria wakatumia kipimo kipya MRDT wakasema hakuna kitu lakn dalili zote zipo nimerudi kwa BS (microscope) ikaonekana ipo.
hivi vipimo havina uhakika au inakuwaje
Pale anakuwa anatafta plasmodium sasa iweje aone vingne
Vingine ki vp..?? Ebu weka swali lako vizuri..??
Ni window period,no antibody to be detect through Mrdt
nimeenda kupima malaria wakatumia kipimo kipya MRDT wakasema hakuna kitu lakn dalili zote zipo nimerudi kwa BS (microscope) ikaonekana ipo.
hivi vipimo havina uhakika au inakuwaje
hicho kipimo ni feki. Kina siasa za MDG 6 ili watu waonekane wamefikia malengo, Nimefanya utafiti usio rasmi katika vituo mbali mbali mjini DSM ulioonyesha kipimo hiki hakitoi majibu ya kuaminika mpaka mgonjwa anapokuwa na kiasi kikubwa sana cha vimelea vya malaria.
Yaaaap hapo umenipata sasa