MRDT and BS

MRDT and BS

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,549
Reaction score
4,133
Nimeenda kupima malaria wakatumia kipimo kipya MRDT wakasema hakuna kitu lakn dalili zote zipo nimerudi kwa BS (microscope) ikaonekana ipo.

Hivi vipimo havina uhakika au inakuwaje?
 
nimeenda kupima malaria wakatumia kipimo kipya MRDT wakasema hakuna kitu lakn dalili zote zipo nimerudi kwa BS (microscope) ikaonekana ipo.
hivi vipimo havina uhakika au inakuwaje
Ina wezekana MRDT ni Invald au kuna kosa ali commit during diagnosis.. Ila pia by using microscope huwa wana toa false +ve kutokana na jinsi ulivyo jieleza..!!
 
Pale anakuwa anatafta plasmodium sasa iweje aone vingne
 
nimeenda kupima malaria wakatumia kipimo kipya MRDT wakasema hakuna kitu lakn dalili zote zipo nimerudi kwa BS (microscope) ikaonekana ipo.
hivi vipimo havina uhakika au inakuwaje

Hapa kuna sababu nyingi zinazoweza kusababisha matokeo kama hayo. Nitakuwa mwongo nikisema naweza kukueleza hapa. There is a vast literature on that! Kama we ni msomi and you are most likely,(mchaga tena asisome) google tu utapata an array of responses to your satisfaction.
 
Vingine ki vp..?? Ebu weka swali lako vizuri..??

Hapo umesema inaweza detect tofauti kutokana na maeleZO yangu.
Sasa ndo. Nkasema..... kama maabara ana jua anapina malaria......s atastik kwenye malaria pekee....... kwann aje na jibu lingne.......

Hapa ninachoona MRDT kwangu sina iman nayo vitoto vina enda klinik vinachenka kinouma lakn hakuna malaria kuja kupima na Micro... ikaonesha
 
Ni window period,no antibody to be detect through Mrdt
 
Ni window period,no antibody to be detect through Mrdt

Window period(the time delay between infection and development of antbody) huwa ai determine result kwenye MRDT bali kwenye HIV rapid test such us(determine,un-gold&sd bioline) ndo huwa huwa window period ina determine false +ve.usi sahau kuwa MRDT ndo kipimo chenyewe kinacho detect antbdy rapid test zingne zna detect antgen.
 
nimeenda kupima malaria wakatumia kipimo kipya MRDT wakasema hakuna kitu lakn dalili zote zipo nimerudi kwa BS (microscope) ikaonekana ipo.
hivi vipimo havina uhakika au inakuwaje

hicho kipimo ni feki. Kina siasa za MDG 6 ili watu waonekane wamefikia malengo, Nimefanya utafiti usio rasmi katika vituo mbali mbali mjini DSM ulioonyesha kipimo hiki hakitoi majibu ya kuaminika mpaka mgonjwa anapokuwa na kiasi kikubwa sana cha vimelea vya malaria.
 
Yaaaap hapo umenipata sasa
 
Yaaaap hapo umenipata sasa

hapo mwanzo ilikuwa inazingua ila kwa sasa vinatoa majibu sahihi kabisa ila kuna vya aina nying vya india havina ubora kuna vile vya box la kijan na nyeupe ndio vinatoa majibu ya uhakika
 
Back
Top Bottom