Hakika mume/mke mwema anapatikana popote pale
Nashkr nilileta Uzi wa kutafuta mume,Aisee wengine walifanya masihara sana na wengine walikuwa serious wanauhitaji,wengine sikuvutiwa nao,wengine hawakunivutiwana mm
Ila Nashkr nilibahatik kumpata kijana mmoja cjui nimuelezee vipi Ila jamn kuna watu huku wanajielewa wanajua nn wanataka licha ya kumwambia mapunguf yangu lkn amenivumilia na kukubali jinsi nilivyo nami nimemuahid kumpenda na kumheshim
Jamani sote tumeumbwa na Mungu hakuna mkamilifu kuna mambo yakibinaadam yanarekebishika nawasihi msikate tamaa humu ndani wapo watu wema cha umuhim uvumilivu tu
Nitarud tena kwa mrejesho mwingine,Inshaallah.[emoji4]