Mrejesho: Ahsante JF nimepata mwenza

Mrejesho: Ahsante JF nimepata mwenza

Hakika mume/mke mwema anapatikana popote pale

Nashkr nilileta Uzi wa kutafuta mume,Aisee wengine walifanya masihara sana na wengine walikuwa serious wanauhitaji,wengine sikuvutiwa nao,wengine hawakunivutiwana mm

Ila Nashkr nilibahatik kumpata kijana mmoja cjui nimuelezee vipi Ila jamn kuna watu huku wanajielewa wanajua nn wanataka licha ya kumwambia mapunguf yangu lkn amenivumilia na kukubali jinsi nilivyo nami nimemuahid kumpenda na kumheshim
Jamani sote tumeumbwa na Mungu hakuna mkamilifu kuna mambo yakibinaadam yanarekebishika nawasihi msikate tamaa humu ndani wapo watu wema cha umuhim uvumilivu tu

Nitarud tena kwa mrejesho mwingine,Inshaallah.[emoji4]
Hayo mapungufu ujirekebishe sasa na ikiwezekana ukae nayo mbali kwani ukijisahau tu itakula kwako,huwa mnakuwa wapole mwanzoni ,pingu zikifungwa tu mnaanza vituko.Hongera sana,endelea kumtanguliza Mungu kwa kila jambo..
 
Hongera sana kwa kupata haja ya moyo wako
 
Back
Top Bottom