didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
Wakuu yule msichana alieniambukiza UTI sugu kanicheki kasema na yeye anaumwa ila hataki kwenda hospital. Mimi nimevunga sijamwambia kwamba ana UTI sugu😅😅.
Tumieni Kinga wakuu!!!!
Tumieni Kinga wakuu!!!!
