Mrejesho: Aliyeniambukiza UTI ameniambia kuwa naye anaumwa

Daah nme
Apo sawa umefanya la maana na ungemchana tu kuwa ni ww umenipa koz wanaume ukigonga ndani ya siku chache inakua tayar so kujua ni

Apo sawa umefanya la maana na ungemchana tu kuwa ni ww umenipa koz wanaume ukigonga ndani ya siku chache inakua tayar so kujua ni easy aliekupa
nimetumia busara kaka sijamwambia kama kaniambukiza nimemsisitiza tu akapime
 
Wakuu yule msichana alieniambukiza UTI sugu kanicheki kasema na yeye anaumwa ila hataki kwenda hospital. Mimi nimevunga sijamwambia kwamba ana UTI sugu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…. Tumieni Kinga wakuu!!!!
Kuwa na akili mwambie aende hospitali na mwambie kabisa ana dalili za kaswende ili ahamasike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ